Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unapokutana na mwanamke katika safari yako ya MAISHA hapa namzungumzia kijana amabaye yupo na Malengo Makubwa kuhusu MAFANIKIO na anajua thamani yake . Hivyo katikati ya safari yako unaweza...
2 Reactions
1 Replies
549 Views
Sehemu ya Kwanza: Ndoa ni Zaidi ya Mapenzi Maneno ya busara: "Oa kwenye familia ambayo hata mtoto wao wa kike akiumwa sio lazima ukoo wao mzima ukae kikao ipatikane 200k." Maisha yana changamoto...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
My name is fox, Am looking a woman, age between 25 to 35 for true relationship which will lead us for marriage, Any woman who is serious in relationship just PM.
1 Reactions
9 Replies
676 Views
Wapwa Bora hamu ya kua na mtu umpendae yaan akiumwa,akipata shida, upo Kwa ajili yake yaan hamu ya kua nae ni kubwa. Au wajibu unapata mtu anaekuelewa zaidi anakua na wajibu juu Yako anatimiza...
2 Reactions
13 Replies
610 Views
Juzi kati nikiwa na wife wangu katika mizunguko ya hapa na pale town ghafla akapita dada mmoja amevalia skirt nyeusi fupi mno na high heels bila shaka dada yule atakuwa mtu wa kusin kwani alikuwa...
15 Reactions
98 Replies
16K Views
Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea. Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa. 1. Tamaa Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani...
4 Reactions
102 Replies
3K Views
Kulikuwa na wakati ambapo ndoa ilikuwa zaidi ya sherehe ya wawili waliopendana; ilikuwa taasisi yenye mizizi katika jamii, iliyozingatia heshima, uvumilivu, na mshikamano wa kifamilia. Ilikuwa ni...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Merry Christmas everyone out there. Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa...
13 Reactions
113 Replies
7K Views
Salaam wadau, Maisha yanatupa zoefu nyingi sana, zenye matokeo chanya na wakati mwingine zinaweza kukuachia alama ya uchungu isiyosahaulika. Mara nyingi sio kwa kupenda au kuridhia maisha...
42 Reactions
587 Replies
63K Views
Mara kadhaa huwa nikiboeka napita YouTube nakucheka sana visa Mikasa na kujifunza sana kuhusu hawa wanawake namna gani wasivyokuqa na shukrani na vile wanatamaa zaidi ya fisi. Hapa chini ni kisa...
2 Reactions
13 Replies
913 Views
Mwaka huu 2024 mwezi wa nne. Mwenge Dar es salaam. Nilikuta na Dada mmoja 26 Miaka. Nilitokea kumpenda nikamuomba namba tukandelea kuwasiliana. Baada ya mda tukaanzisha mahusiano. Kila siku...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
Miezi miwili iliopita nikawa nimeamia nyumba moja hivi Kwenye hiyo nyumba nikamkuta binti mmoja hivi sikujua kama ana mume Kwa maana katika mazoea na kukaa hapo kwa wiki moja sikuwahi kuona...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za jioni mabibi na mabwana natumaini hamjambo nyoote, Mimi nimekuja kuomba ushauri natambua humu kwenye jukwaa kuna watu tofauti tofauti kwanzia kiumri, kidini, nitatuma, nk. Mimi ni...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari za jioni. Kuna jambo nimejifunza ila nimechelewa sana kulijua. Lakini huu ndo ukweli. Naamini wanawake wa Kitanga kuna sehemu wanakwenda kufundishwa mambo. Kwa sababu hakuna mwanamke...
35 Reactions
277 Replies
48K Views
Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya...
46 Reactions
172 Replies
7K Views
Nahitaji kuoa mke wa pili awe na sifa zifuatazo:- Dini yoyote ila watoto wangu watakuwa wakristo Umri kati ya miaka 25 hadi 35 Awe mwajiriwa. Awe tayari kuwa mke. Akiwa na mtoto mmoja tayari...
3 Reactions
10 Replies
725 Views
Ndugu zangu kuishi Afrika lazima uweze kuvumilia kero za watu lasivyo patakushinda Kero kubwa ya Afrika ni watu kutaka kujua siri zako na mambo binafsi yanayohusiana na faragha Labda nianze kwa...
18 Reactions
99 Replies
4K Views
Sina muda wa kuandika sana hapo. Niko bize naandika simulizi yangu ya My family. Cha kuzingatia hapo ni kuwa mkeo hajabakwa yaani anashiriki ngono kwa mapenzi yake.
38 Reactions
179 Replies
6K Views
Ushawai mpenda mtu afu Ata hujawai muambia unampenda mtoto wa mammkwe unakaa tu kua proud akioa au kuolewa, akifanikiwa yaan inakua sasa Kama secret well wisher(crush). NB: Sikushauri ka confess...
12 Reactions
103 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…