Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

"Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu...
14 Reactions
67 Replies
3K Views
Wakati tunaelekea siku ya wanawake najua kuna ujinga mwingi sana utaenezwa kuhusu kuwawezesha wanawake na masuala ya usawa. Mwanaume mwenzangu tumi akili yako usiruhusu huo ujinga ukupumbaze...
38 Reactions
51 Replies
2K Views
Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Nafahamu ya kwamba, wapo experts linapokuja suala la papuchi hasa ktk kutoa bikra Mimi mjina mrefu pamoja na pita pita zangu, nimekula papuchi kadhaa ila sijawahi kubahatisha Bikra. Hivi...
2 Reactions
48 Replies
22K Views
1. Ikiwa anakupenda kweli, atafanya mambo kuwa rahisi kwako. Hakuna udhuru, hakuna michezo ya akili - utapatikana. 2. Tayari anajua ikiwa atalala na wewe au la. Acha kufikiria unaweza...
9 Reactions
37 Replies
5K Views
HabarinI ndug zangu Leo nimekuja na mada inayowahusu watu waliopo kweny ndoa au waliopita kweny ndoa Katika mahusiano Kuna hatua 5 kutonakana nadharia ya (chall Chapman). Je? Wew ulio katika...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
"Kulea ni kazi ya mwanamke na kutunza ni kazi ya mwanaume. Ili mwanamke aweze kulea ni mwanaume anahusika kutoa matunzo. Kujiunga na chama hichi ni kuanzia miaka 18 ambapo tunatengeneza wanaume...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu habari, Naomba kujua sifa za viumbe hao wadigo vs wasambaa, ktk kuishi na maisha ya kila siku, Pia Nani kafundwa Kama mmakonde? Ujumbe "Mwanamke ni kiumbe mpole mnyenyekevu na mwenye...
7 Reactions
82 Replies
23K Views
Tutafute ela tu #2025 #2026 #2027 Stay focused💔💔📌
22 Reactions
121 Replies
4K Views
Kila kitu kilienda kama kilivyo kua kimepangwa mpaka pale mama moja lie zalishwa na bwana harusi alivo leta mtoto wa bwana harusi kama zawadi ya harusi kwa bibi na buana harusi. Wanawake wengi...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?😎 Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea...
19 Reactions
217 Replies
5K Views
Nina mahusiano mapya na huyo Kijana miezi kama 6 hivi Sijawah kunyanduana nae na sijawah kumuomba hela kifupi hatujawahi kupeana chochote zaidii ya maneno matupu Huyo kijana mimi nampenda na...
19 Reactions
329 Replies
14K Views
Mke au Mume ni ufunguo wa maisha,hivyo msidanganye,vijana wa kiume na wa kike oaneni na sio lazima mfanye sherehe
13 Reactions
45 Replies
1K Views
Kuna aina maalum na ya kipekee ya watu ambao hawapendi kwenda nje na wanapendelea kukaa kwenye vyumba vyao tu, Wanapoenda mahali fulani, hukosa upweke wao wenye kupendeza. Hawa ni watu ambao...
8 Reactions
5 Replies
905 Views
Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
MWANANGU USITEMBEE NA MUME WA MTU .. Binti mmoja alikua anatembea na mume wa mtu, alikua akifanya kwa siri lakini Mama yake alijua, baada ya kuona vile Mama yake alimkalisha chini na kumuuliza...
3 Reactions
4 Replies
966 Views
Wakuu, Wengi wetu hapa jukwaani tumepitia hii changamoto,unakuta umempenda dada wa watu sana,bahati nzuri amekukubalia Ulipoenda kwenye sita kwa sita unakuta size ya vikojoleo haiendani may...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Male 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba. Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu. Mwanamke awe tayari kushika mimba...
36 Reactions
290 Replies
14K Views
Mwanaume, nikukumbushe tu, kiasili hatujaumbwa kuvumilia, yaani ile hisia ya uvumilivu tunakuwa hatuna kabisa, ndiyo tulivyoumbwa. Kama ukishaona mke wako anaanza kukufanyia dharau, iwe ni sababu...
2 Reactions
4 Replies
603 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…