Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

habari wadau wa business forums.. naombeni msaada wenu.. kuna shindano nimeshiriki la ujasiriamali linaitwa total start upper of the year.. katika harakati za kusaka ugali.. sasa limefikia...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Watu wengi wanapopanga kuanzisha biashara, huwa wamekuwa wakihangaika na kutafuta wazo lipi bora la biashara kwao kufanya. Wengi hutafuta fursa kubwa na za mbali na kusahau fursa za karibu ambazo...
13 Reactions
15 Replies
16K Views
Mi nadhani focus kubwa ingekua kwenye kuweka akiba kupitia precious metals hasa gold and silver kuliko hizo paper currency. Mana whether ni tzsh au currency nyingine yoyote paper currency Zina...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau mwezi wa saba mwaka huu nilikua katika harakati za kuanzisha biashara ya car wash. Kama kawaida yangu nikaanza kufanya research sehemu mbali mbali hasa humu JF na kwa watu mbali mbali ambao...
9 Reactions
30 Replies
10K Views
Habari wapendwa, Nilikuwa natembelea mtandao wa PAYPAL nikagundua kuwa watanzania wanaruhusiwa kutumia huduma ya Paypal ambayo imeonekana kuwa salama sana kwa kuepusha kutapeliwa LAKINI Ikitokea...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Greece is Current World Champion in Tax Increases | GreekReporter.com
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Niko katika wakati mgumu sana baada ya kununua korosho tani kama 4.5 na kuona hakuna dalili yoyote ya kulipwa sasa wadau nimebakiza kiasi hicho hapo juu na usheee naomba kuelekezwa juu ya wap...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu youtube nikakutana na video inayoonyesha jinsi wanavyotengeneza karatasi kutokana na nnya ya tembo. It is amazing aisee, paper from elephant poo..hii ndo recycling sasa:D
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu! Niende kwenye mada nilikuwa natafuta mbia wa kuweza kuingia naye makubaliano na kuwekeza kwa pamoja kwenye kilimo hasa cha mboga mboga kwani ndicho chenye faida kwa sasa Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari. Mimi leo nimenunua hisa 1000 kwenye kampuni sasa nilitaka kujua baada ya gawio la mwaka nitatakiwa kununua hisa zingine kama wanachama wapya au hizo hisa zangu 1000 zitaendelea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Comrades, Naomba wale wenye updates za wapi ujenzi wa SGR umefikia kwa hivi sasa watuonyeshe maana hizi ni pesa zetu walipa kodi wa Nchi hii. Hii ni kwa segments zote za Dar-Moro...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello Tanzania na East Africa kwa ujumla. Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na ongezeko la watu mashuhuri kutoka pande tofauti tofauti za dunia ambao kimsingi kupitia vyombo mbali mbali vya habari...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
je unajua hapa tanzania kuna blog zaidi ya 5000 na tovuti yaani websites nyingi ..Tanzania kwa sasa inakuwa kwa kasi kwenye masuala ya mtandao.kulingana na ukuaji wa uchumi,biashara na viwanda...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nawezaje kukuza kipato changu nikiwa na capital ya 500,000
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Binafsi sikua Niki ifahamu kikuu sasa majuzi kati nimeifahamu na bidhaa pia lakini pia bei zake nazo ni cheap mno. Sasa nimehitaji kununua bidhaa shida yangu ni kwamba sie wa mikoani kuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Vodacom Plc inafurahi kuwaletea KASI Intaneti, njia mpya ya kupata Intaneti isiyokata. Ukiwa na KASI Intaneti unaweza kuperuzi, kutuma barua pepe, kuangalia filamu mtandaoni (yaani kustream), na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Helo JF members Greatings to you all, Kama title ilivyo hapo. Ebu Leo tufafanue kidogo na tulipe uzito hili neno linaloitwa 'UAMINIFU' whitemens called it Trust.... Tuongelee Uaminifu hasa pale...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikisikia na kushuhudia katika mikoa baadhi ya mikoa juu ya muda utoaji wa TIN. Mwaka 2014 nilimsindikiza rafiki yangu mmoja kwenda kuchukua TIN kwa ajili ya biashara huko...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…