Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba kuuliza jamn wafanyabiashara wenzangu JF, Hivi ukishakadiria kodi pale TRA na ukapewa na control namba ulipe labda awamu tatu ya mwisho wa mwezi. Sasa mfano mwisho wa mwezi umefika umelipa...
1 Reactions
5 Replies
705 Views
Naomba mwenye uzoefu wa kuandika barua ya kupinga makadirio ya kodi TRA anisaidie mfano.
1 Reactions
3 Replies
943 Views
Je ni biashara gani naweza kwenda kuchukua china na kuanzisha Tanzania mtaji wangu ni milioni 25 ninaitegemea pia kwa bajeti yote ya usafili
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Niende mojakwamoja kwenye kichwa cha habari. Mfumo wa Brela Ors imekuwa changamoto kubwa sana kwa watumiaji. Nimejaribu kuifungua toka alhamisi tarehe 19 desemba 2024 haipatikani mpaka leo...
1 Reactions
0 Replies
657 Views
Habari wakuu 4G Router TP Link Archer MR400 inauzwa Bado mpya imetumika muda mchache tu.. imenunuliwa mwaka huu Tarehe 8/02. Imenunuliwa 220,000/= risiti ipo. Njoo na OFFA yako CALL au WhatsApp...
2 Reactions
1 Replies
928 Views
Habari Wana JF Naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitenge hususani jijini Dar es Salaam.
0 Reactions
1 Replies
473 Views
KARANGA KUBWA KUTOKA MALAWI Bei 25kg 105,000/= Maongezi yapo kidogo zipo tani 300 Location Moshi Kilimanjaro Namba 0682 761740. Karibuni wateja.
2 Reactions
7 Replies
649 Views
Jamani nataka kufanya biasha ya kuuza ving'amuzi vya azam je, ni wapi naweza kuvinunua kwa bei ya jumla? Naomba msaada mwenye kujua
0 Reactions
2 Replies
624 Views
Naomba mchanganuo wa gharama za kupata mashine ya kukoboa na kusaga fully Kwa DSM kwa mahitaji ya kijijini hasa iwekwe mkoa wa Tanga,karibuni wadau wazoefu kwa ushauri mnipe mwanga wa upatikanaji...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Mm sijambo Nilikuwa natafuta scientific reason ya kubadili mawazo yangu ya kupeleka biashara maeneo ya kusini na kuchagua eneo jipya la kupeleka biashara. Mpango wa biashara ni...
3 Reactions
14 Replies
932 Views
Ninataka nikatafute CD nianze biashara ya kuweka movies, nisaidieni majina ya movies kali sana za siku za hivi karibuni zinazovutia sana watu wengi. Aksanteni nyote!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni nini tofauti kati ya Majina haya yanapotumika katika baiashara mbalimbali: Kampuni, Entreprises, Investiment, groups, Limited (Ltd) Nini Faida yake katika biashara Utaratibu wake wa usajili...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu, Si wote tunaweza kwenda China kufuata mizigo hasa hii midogo midogo ya matumizi ya kawaida na pengine biashara. kwa miaka takribani mwili nimekuwa nikiagiza kupitia hawa jamaa wanaitwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu msaada kwa wale wanaofahamu faida ya biashara ya kuuza nyama ya ngurue ikoje na vip changamoto zake nina mtaji wa laki 2. Vifaa ninavyo. Asanteni.
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Ndugu zangu, natafuta mtu anayeweza kuwa na access ya upatikanaji wa mboro za ngo'ombe zikiwa kavu pamoja na ngozi za Ng'ombe ziwe kavu pia kwa wingi.
8 Reactions
97 Replies
3K Views
RAIS MWINYI: KUSHUKA KWA DOLA KUTAPUNGUZA BEI ZA BIDHAA. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa...
0 Reactions
1 Replies
489 Views
Mm n kijana wa kitanzania, npo maeneo ya Nyegezi Mtaa wa Nyamazobe, ninahitaji kufungua biashara ya kuweka movies na nyimbo mbalimbali, 1. Naombeni ushauri wenu wadau kuhusu vitu vya msingi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…