Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Happy New Year, Mods tafadhari musidelete post yangu. Tarahe 24 Dec 2024 nilikuwa nalipia Netflix Subscription kwa kutumia Mastercard ya MIXX BY YAS lakini kwa bahati mbaya ikawa rejected...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na...
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Vijana wengi tumekuwa wavivu na waoga hasa linapokuja suala lautafutaji watu wengi wanaamini kufanikiwa kupitia njia za ndugu zao au walizotumia jamaa zao Kuna kitu nataka nikushauri kijana...
11 Reactions
64 Replies
26K Views
Habarini wakuu, Kwa wakazi wa jiji la DSM nadhani mtakuwa mnaelewa kuhusu ‘si-so’ or see saw. Sasa, nina wazo la kuanzisha plant ambayo inaweza ku-recycle products za chupa/glass, kama mnavyojua...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mchanganuo wa biashara ya supu ya pweza Pweza ni mazao ya bahari ya Hindi. Samaki wa aina tofauti, pweza, ngisi, dagaa kamba na kadhalika ni baadhi ya vinavyopendwa na wakazi wengi. Biashara...
4 Reactions
56 Replies
22K Views
Habari mazee ,kitambo sijapost business ideas. Leo nimekuja na wazo moja hivi naona linakuja linakata nikasema niforce kingi nilitoe hivyo hivyo tu, miezi kadha nyuma nilipata hamasa ya kutaka...
15 Reactions
24 Replies
3K Views
WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYA ▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa...
0 Reactions
0 Replies
383 Views
Kuanza biashara na mtaji wa TSH 200,000/= katika mji kama Dar es Salaam inawezekana kwa kuchagua biashara ndogo ndogo ambazo hazihitaji mtaji mkubwa. Hapa kuna mawazo ya biashara ambazo unaweza...
9 Reactions
6 Replies
9K Views
Teknolojia ya AI na drones inaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo cha misitu, ikilenga kuongeza uzalishaji kwa njia endelevu huku ikilinda mazingira ya asili. Kwa kutumia teknolojia...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Husika na kichwa hapo juu, naomba kufahamu wapi nitapata connection kutoka kwa wachina viwandani au kuagizia china nipate kununua pikipiki kwao moja kwa moja bila kwenda madukani kwa bei ya...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina mtaji wa laki na nusu, naomba kujuzwa wapi wanauza mashuka ya mtumba kwa bei rahisi ninunue kwa lengo la kuja kuuza mtaani kwetu.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hadi sasa hivi vijiti vya kuchokonolea meno (toothpik) vinatoka China na maeneo mengine ya huko Asia, sisi hatujaweza kuvitengeneza hapa licha ya kuwa na malighafi tele ya kutuwezesha kutengeneza...
3 Reactions
14 Replies
474 Views
Leo tuzungumze kidogo kuhusu mfumo wa malipo unaowekwa kama kigezo cha biashara kufanyika. Wateja wako makini wanajiuliza, “Letter of Credit inaweza kutumika?” Hii ni jambo la msingi kwa...
4 Reactions
3 Replies
575 Views
Habari wanaJF NInahitaji mtu mwenyeji wa zanzibar, awe anauelewa kidogo na taaratibu za kiserikali zanzibar. Call 0693410889
1 Reactions
3 Replies
337 Views
Wakuu habari. Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
kwa wauza mitumba popote mlipo naomba elimu nianze na nguo gani zinazo toka haraka na zabei ya chini naomben ushauri
1 Reactions
6 Replies
666 Views
Do you want to start any of the following 70 businesses? • Precast Concrete Products (Cabro) Making • Maize Milling • 15 Unique & Untapped Ideas • Quarry • Motorcycle Spare Parts Retail •...
1 Reactions
0 Replies
469 Views
Mafanikio Yako Yanaanza Hapa – Usiache Fursa Hii Ipotee! Unakabiliwa na changamoto zinazokufanya ushindwe kufurahia maisha au kufikia malengo yako? Niko hapa kukusaidia! 🔥 Kwa Afya Yako ya...
3 Reactions
11 Replies
824 Views
Nipo Kibaigwa Dodoma natafuta mtu ambae yupo dar es salaam au Morogoro ambae atakua ananiuzia na kunitumia kwa njia ya basi bidhaa zifuatazo 1. Bahasha no. 3- original na ya kawaida 2. Blubendi...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
MECHANICAL KEYBOARD BLUE KEY K68 price 120,000/= Wired Call or WhatsApp 0692562259 📍Kijitonyama opposite shishifood Delivery available
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…