Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu, Hii Bank yetu tunayojivunia kuwa inafanyabkazi vizuri naona sasa imeanza kuwa na tabia za kizamani. Nimeingia Bank saa 7 mchana kwa nia ya kupata huduma ya fasta na kutoka lakini hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina biashara na leseni ya biashara.Pia ni mlipa kodi TRA.Nataka kutoa huduma kwa mashine za maxi malipo natakiwa kufanya nini? Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana Habari za asubuhi? Natumai wote hamjambo. Kuna kampuni ninataka kufanya nayo biashara. Wanaonekana kuwa "genuine" lakini nimefanya utafiti juu yao kwenye Google jana. Kampuni inaitwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kununua king'amuzi,mwenye ufahamu kuhusu kipi ni safi,,,,na bei ake anijuze. Onyo: Sio cha dstv,,,,ni kati ya startimes , zuku , continental na ................
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wana jamii hii imekaaje ================= 2 Sep 2013 Africa's vast, under-exploited mineral wealth is attracting a surge in interest, with more than 2000 delegates attending the Africa Down...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamii hasa jukwaa hili. Ninahitaji ushauri toka kwenu juu ya ujenzi hapa Dar es salaam. Nyumba ya vyumba vitatu seating rum, jiko, public toilet na katika vyumba vitatu kimoja kiwe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hello JF members I salute! I,ve been seeing a lot of adverts here at JF platform from real properties to personal properties like cars e.t.c, e.t.c The recent one is from the New JF member...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
How “Development” Banks are Using PPP To Carve up the Arab Spring Countries A new report takes a critical look at the engagement of European development banks in Egypt after the popular...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampuni ya microsoft imeinunua kampuni ya simu ya nokia na haki zote za kampuni hiyo. Zaidi ya wafanyakazi 32,000 wa nokia wote wataajiriwa na kampuni ya microsoft...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nahitaji line ya tigopesa tuwasiliane kwa namba hii 0783907323
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Are you in need of a custom software to run your bussiness?? welcome at CREATIVE LAB(T) LTD We have bulit an easy to use software for you. For more Info : contact us via info@creativelab.co.tz
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Maoni ya Katuni Mara nyingi mwananchi wa kawaida hawezi kuelewa dhana ya 'kukua kwa uchumi wa nchi' wakati maisha yake yanabakia kuwa magumu kutokana na gharama za bidhaa muhimu kuendelea kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvini, Napenda kujua kama ni kweli hizi biashara za mitandao zinazofanywa na kampuni kama Forever Living na GNLD zinaweza kumkwamua mtu kimaisha.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale mliochoka kuamka na kukuta wezi wameruka ukuta wako na kuiba ndani mwako wakati mmelala au mmeacha nyumba haina mtu, 255 System inakuletea electrical fencing imara na za kisasa,pamoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF,naomba mnisaidie anayefahamu mnunuzi wa asali kwa jumla,au anayenunua asali . namba zangu hizi hapa 0717 796 234 au 0653 38 22 44 au 0719 647 947,niko Dar .any time...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu, Nina cash 10 million tshs,naombeni mnisaidie wazo la biashara,nitashukuru mawazo na mchanganuo wenu,nipo tayari kufanya hiyo biashara kuanzia mwezi huu na mkoa wowote.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi nikati ya mteja wenu wa kudumu na ndivyo nitakavyozidi na siku zote napenda huduma zenu,but takriban ndani ya kipindi cha miezi kama sita mtu unajiunga na cheka ya 1200 au 900 unashangaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salama wana JF , naomba kuwasilisha. Weekend hii katika mapumziko nilionelewa ni download some series. So nilinunua Vodacom bundle ya sh 12,500 ambayo ni package ya Internet bila kikomo kwa wiki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
natafuta leseni ya gari jamani nani anauwezo wa kunipatia ndani ya siku moja na kwa shilingi ngapi vile niwe nayo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wataalamu wa masuala ya Bima za magari nawaomba mnijuze. Jamaa yangu amenunua gari mkononi mwa mtu, gari yenyewe imelipiwa bima premium ambayo inatarajiwa kuisha mwishoni mwa mwaka huu...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…