Hello Jamii forum members:
Wazo hilo hapo juu nawasilisha kwa ushauri; Mimi nimefanyia ANALYSIS nimeona ni social enterprise nzuri kwa watu wa rika zote; wanafunzi na wasio wanafunzi.
Jambo la...
Ukipitia maandiko mengi ya uchumi yanasema miaka ya sitini nchi nyingi za bara la Asia, zilikuwa na uchumi level moja na nchi nyingi za kiafrika kiuchumi. La kushangaza hivi leo wao kwetu ni...
Hi wakuu, natumaini mu wazma na mnaendelea vzur na shughuli za kila cku.Mimi nipo mwanza nahtaji kuonana au kupata contacts za watu wanaofanya biashara ya matalumbeta am in need of them.
Aksante
Hello JF, HERI YA MWAKA MPYA, 2015!!!
Tunashukuru kuwa Mungu ametuwezesha kuingia mwaka mwingine tena. Moja ya maombi ya kila mmoja ni Mungu kumfanikisha katika mipango yake.
Katika kufanikisha...
nina idea ya biashara nchini mozambique,ila tatizo ni mtaji,natafuta mzamini kwa wale wafanyabiashara wakubwa wenye bidhaa kama nguo za duka za kike na zakiume,wax,belo za nguo za watoto za...
Nakumatt to open 14 new supermarkets regionally
SHARE BOOKMARKPRINTRATING
A Nakuma
tt outlet in Kigali, Rwanda. The Kenyan retail chain is targeting entry into South Sudan and Burundi. NATION...
Jamani msaada nahitaji kupata mkopo bank, lakini nina nyumba yenye leseni ya makazi, sina biashara, je kuna bank yoyote inaweza toa mkopo?? Msaada kwa anayejua please
Nmb tawi la Bunda huduma yake sio nzuri ila kuna dada mmoja amenihudumia leo anaitwa Anna nimefurahia huduma yake maana hanuni wala hajibu vibaya japo wateja kwenye meza yake walikuwa wengi. Kuna...
Jamani nina jamaa yangu ambaye yuko Marekani,anataka tufanye naye biashara ya vitu "used" na kwa kuanza tunataka tuanze na tv flat=20,machine za photocopy=8,laptop=15,camera=10,saa za...
Wanajanvi ni imani yangu mko slalama, nimeingia katika jukwaa hili kutahadhalisha rushwa iliyotamalaki katika taasisi za fedha yaani benki na nyinginezo. Mara ya kwanza nilishuhudia hili katika...
njooni tuanzishe kikundi cha kukopa na kuweka akiba kwa walio dar es salaam ni rahisi kuonana kwa sasa kikundi kuna watu watano kwa walio interested wani pm namba zao za cm wanazotumia whatsapp...
Kuna habari kuhusu mfuko wa PSPF kuja na project ya kukopesha nyumba kwa gharama nafuu. Things needed n kuwa member kwa mwaka usiozid mmoja..na mchango wa 10000@month..
Is this issue...
NATAFUTA MTU AMBAYE ANAWEZA KUNIUZIA NGUO ZA KIKE ZA SPECIAL AINA ZOTE KWA BEI YA JUMLA MIMI NIPO ARUSHA.
KINDLY SEND YOUR PRICE LIST VIA KWA EMAIL YANGU
Email: fredyone78@gmail.com
mimi ni kijana wa kitanzania ninayetaka kujiingiza katika biashara ya kilimo cha matunda na mboga mboga ninaandaa business plan lakini nimekwama katika kuandika market analysis kutokana na...
Salaam,
Ndugu wadau nahitaji msaada wa kujulishwa ni kodi zipi (kama zipo) hulipwa wakati wa kuanzishwa kwa kampuni? Na je kiasi cha mtaji wakati wa kuanzisha kampuni kina athari yoyote katika...