Habari wakuu. Naombeni ushauri ktk hili
Nina options mbili, either kununua kiwanja au kufungua mradi kidogo miezi michache ijayo. Vyote ni vya muhimu na siwezi kuvifanya kwa pamoja maana...
Miradi mikubwa miwili chini ya NSSF yenye thamani ya mamilioni ya dola za marekani, imeiweka juu NSSF kwa kuthubutu na kutekeleza kile ilichodhamiria katika mipango yake!
Angalizo; ceteris...
Ukifuatilia kwa karibu utaundua viongoi wengi hasa wa serikali wapo bize sana na mambo ya kitaifa,kikanda& kimataifa hivyo si rahisi kukumbuka mambo ya SALOON, vijana tuchangamkie fursa hii...
Jaman nna shamba langu huko rufiji kata ya kitembo,sasa nlikuwa naomba kama kuna surveyor humu ndan akansaidie kupima nsije nkawa nmenunua eneo la makaburi.....!!!
Jamani wana Great thinkers, Mimi nimejaribu kufanya research yangu binafsi ya biashara na kugundua sehemu ninayoishi biashara ya mikate inalipa sana kwani huwa inafuatwa mbali ili ije kuizwa hapa...
Nimeiona hii sehemu nafikiri sio mbaya nikiileta hapa kwa sisi wafanyabiashara ambao usimamizi ni mdogo kutokana na majukumu mengine
System ya Candela ambayo inatumia alama maalum za kutambua...
NJIA ZA KUKUTOA KATIKA KIFUNGO CHA UMASKINI.
Habari za leo ndugu msomaji wangu. Nisiku nyingine tena tunakutana apa kwa lengo la kuelimishana na kuabalishana ili tuweze kuakikisha tunamtokomeza...
Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha.
Wakuu kuna watu humu wana pesa hawana idea nzuri za biashara,na kuna wengine wana idea nzuri lakini hawana...
NUNDOS INVESTMENT AND CLEANING SOLUTION LIMITED:,
Ni kampuni iliyosajiliwa na uzoefu wa kutosha katika huduma za usafi katika maeneo mbalimbali kama
>ofisini >nyumbani >hospitalin >hotelin na...
BIASHARA ya Mtandao ni njia ya kisasa
ya usambazaji wa bidhaa kutoka
kiwandani hadi kumfikia mteja au
mtumiaji moja kwa moja. Hivyo,
kiwanda kinazalisha bidhaa tu. Halafu
kuna mtu mmoja tu ambaye...
Habari wadau,
Nipo Arusha ninahitaji Tumbaku kwa ajili ya soko la nje zenye specification zifuatazo: Full leaf with 1 year storage, nicotine 0.7%-1.3%. Not much spice.
Mwenya taarifa au uwezo wa...
Poleni na majukumu wadau naimani kwenye wengi hapalibiki jambo
naomba kuuliza hivi kuanzisha radio ambayo itakuwa inadikika kilometa 100 kutoka mashariki magharibi, kusini na kaskazini...
Habari wakuu,
Nina ndugu ndio amewasili hivi jijini Dar hapa na yupo yupo tu. Sasa sipendi tu awepo awepo hapa nyumbani, nimeona nimtafutie kitu cha kufanya chenye manufaa nae. Hivyo nimeona...
We have a ground floor opportunity for you to collect free real stock shares of We Share Success Inc., a global company co-founded by thousands of Perfect Internet Members scattered worldwide...
Hizi bei bado zinafaa ziwe chini zaidi.
================
Relief for motorists as fuel prices drop to four-year low
Motorists hoping for relief at the petrol pump have reason to smile after...
Africa's energy industry could boom in the coming years, with Mozambique and Tanzania set to emerge as new frontiers if they can attract enough badly needed investment, a report said recently.
Six...
Habari zenu wakuu. Sisi ni vijana watatu ambao tumeamua kuja na wazo la kujiajiri ambapo mradi ambao tunaufanya ni kununua nyama machinjioni na kuja kuuza sokoni. Biashara hii itakuwa nzuri endapo...