Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu. Naomba msaada juu ya taratibu za kufuata ili kuanzisha kampuni ya kutoa mikopo na usajili wake.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanahisa tupo njia panda...hisa zake haziuziki tena...hatujui hatma ya pesa zetu tulizowekeza.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wazo langu ni kufanya biashara ya Nguzo za Umeme, hapa Mufindi tumejaaliwa miti mingi ambapo tumekuwa tukitegemewa sana nchini pamoja na nchi jirani ya Kenya. Kama ningewezeshwa ningeweza kununua...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Sepon Limited inakupatia umeme wa solar na umeme wa backup iwe nyumbani au ofisini, Tunatoa huduma zetu za umeme wenye uhakika mikoa yote ya Tanzania bara na Visiwani. Tunatoa free service mwaka...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Kwanza kabisa napenda kumpongeza Rais wetu kwa hatua kubwa aliyofikia na kubwa zaidi ya yote ni hili la sera mpya ya elimu.Siku zote nimekuwa naamini hakuna mapinduzi makubwa duniani kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna tofauti kubwa sana ukichukua 0-0=0 na ukichukua 100-100=0, kwa mtazamo wa kawaida unaweza usiione tofauti maana majibu yote ni 0. why that example? Nimekua nikichunguza watu wanaokwenda...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi, Mimi ni mfanyakazi mpya sehemu flani kwa mwezi wa 5 sasa ila nimeting'wa na ishu ya haraka inahitaji hiyo pesa. Kama kuna anaeweza kunikopesha kwa makubaliano genuine yenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kampuni gani ina wateja wengi zaidi? Na ipi inaingiza mapato makubwa kwa sasa?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wataalamu wa mambo nisaidieni kukokotoa mahesabu ya kodi ya kulipata hili gari likifika bandarini hadi kwenye mikono yangu.Please mote that FOB $450, CIF $1718..Nimejitahidi na HY TOOL...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa mayai lakini tatizo ninalokumbana nalo ni kwamba kipato ninachopata hakilingani na gharama ninayotumia utagaji ni asilimia 50 nimejitahidi kubadili uchanganyaji...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
naomba mnifahamishe wapi naweza pata mkopo wa milioni 5 kwa ajili ya ku expand biashara yangu dhamana kadi ya gari aina ya toyota gaia
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kujua jinsi bia inavyotengenezwa na kwa nini ladha zinakuwa tofauti, pili gas inayowekwa kwenye bia inapatikana wapi na kama kuna uwezekano wa kuanzisha kiwanda kidogo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima na tahadhima natanguliza kwenu wadau, JF, ni sehemu iliyo saidia sana kukuza akili ya kiuchumi. Sasa ninawaomba watanzania wenzangu, tujadili kwa kina suala la NAMNA YA KUJIAJIRI NA...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Wadau nina biashara yangu nataka ongeza mtaji sasa nataka kopa Bank kwa dhamana ya hati ya nyumba,hivi ni Bank gani wako na riba nafuu zaidi. Naomba kujuzwa mwenye ufahamu wa kutosha nipate pa...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Habari zenu wadau, ninataka kufungua biashara ya Masaji Dar. Nyumba (ofisi) ilishapatikana tayari. Kwa mwenye uzoefu na biashara hii vipi, inalipa? Funguka tafadhali
4 Reactions
39 Replies
19K Views
Most residential real estate firms in Tanzania residential sellers a concessional of 5% to 10% of the selling price. Agents seem to compete for business on every dimension except commission rates...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
SIRI ILIYOJIFICHA NDANI YA BIASHARA YA MTANDAO SEHEM YA NNE Habari ndugu msomaji wa makala zangu matumaini yangu unaendelea vizuri hadi muda huu ambao umechukuwa kusoma tena makala haya ambayo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana, Ninapenda kutangaza ya kwamba, tunayo ardhi ya shamba yenye ukubwa wa eka 1,000 na tunatafua wafadhili wa kuanzisha kilimo. Eneo halijawahi kulimwa na wataamu wanasema eneo hilo...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wana jamvi? mwana jamvi mwenzenu natamani kujua kuhusu biashara ya BIMA, kama Agent au Broker, lakini kwa kuanza kua kama Agent( Wakala) natamani kujua kama kuna mtaalamu wa mambo ya BIMA...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…