Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jamani mwezenu na hitaji kupata mkopo kwa ajili ya kufanyia biashara, taasisi zote za mikopo ninazo zifahamu zina mashariti ambayo yananibana nishindwe kukopesheka. Tusaidianeni wadau, ukiona kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wajasiriamali tatizo kubwa ni kupata soko, pata suluhisho sasa: “get an effective marketing tool” itakayo kusaidia kutangaza biashara/huduma yako kwa kutuma bulk sms kwa watu wengi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo mengine wananchi hatupendi kuyafanya lakini namna ya utoaji huduma kwa wateja wenu inatulazimu kuyafanya,tumereport ubovu wa metre ya Luku imechukua 3 good month kuja kubadilishiwa na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
'' Ndugu Mteja, tunakutaarifu kwamba HATUTAKUWA NA MAREKEBISHO YA KIUFUNDI, taarifa zilizoenea si za kweli. Huduma zetu zote zitaendelea kupatikana kama kawaida'' - Tigo ==== Huduma zenu jamani...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nimesoma na kufatilia dondoo kadhaa kuwa shilingi yetu inazidi kuporomoka kila kukicha bila hauweni. Kimsingi mm si mtaalam wa uchumi, nakumbuka mwaka 2009 nilienda Zambia na miongoni mwa vitu...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Huko ni bei gani kwa gunia/roba.Naomba kujuzwa bei ya mkaa huko Jijini Dar es salaam.
0 Reactions
41 Replies
17K Views
Habari zenu waungwana jukwani: Tangaza Marketing Solutions ni kampuni inajishulisha na advertising,marketing na promotions pia tunasaidia Wajasiliamari na Wafanyabiashara kusajili biashara kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
habari zenu wakuu, nimeajiriwa katika secta binafsi na ninamwaka mmoja sasa katika ajira hii, nimekuwa nikifuatilia habari za upatikanaji wa mikopo( hasa humu JF) na kwa taarifa ninazoziona ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
DarProperty mortgage is a mortgage brokerage service provided by DarProperty Tanzania, this service give an application a wide knowledge, advice, support and guidance about mortgage finance in...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sepon Limited huduma zetu za umeme wa solar na backup system zinazidi kushika kasi kwa ubora, tunakufikia mteja popote ulipo na kukupa huduma bora kwa warranty ya mwaka mzima na huduma ya bure...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa naomba mnisaidie; Nataka kusajili NGO inayohusu kusaidia watu wenye Mental and Physical Disabilities. Zitakuwa kuwa kama Home Care but more kama family, aim is to share life together...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mamboz, hamjamboz.. Tupitieni hii link tumsikilize mwenzetu aliyefanikiwa huku na sisi tukiwa na dreams zetu. Inshallah nasi tutafanikiwa. Bofya hapa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kuagiza nguo na kofia kutoka china. Sana sana ningependa kujua kaisari (TRA) anachukua kodi asilimia ngapi ya mzigo wanguo unaouingiza. Ningafurahi kama ningejua...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ni matumaini yangu moo salama salimini. Mimi ni Kijana mwenye nguvu na ninayependa kujishughulisha sana. Natakiwa Nihame jiji moja Maarufu (Mwanza) na kuishi Masasi- Mtwara, kutokana na sababu...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wadau wa Jamii Forum habari zenu! Ninamalizia kazi ya kufanya Market survey ya magari Tanzania. Katika survey hiyo pamoja na mambo mengine nahitaji kujua idadi ya magari mapya yaliyonunuliwa...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Kama una uzoefu wa kufundisha drama , muziki au ngoma za htamaduni na ungependa kazi maeneo ya Kibaha Maili Moja-Kwa Matias Kibaha, niandikie barua pepe - resbijura@yahoo.com. Kuna opportunity...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CPM Business Consultants, ni Kampuni inayojihusisha na kutoa ushauri wa biahshara kwa Wafanyabiashara wadogo wa kati na wakubwa. Pia inatoa ushauri kwa wa uendeshaji wa Mashirika yasiyo ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau Natafuta notes za zamani za Tsh 200 zilizokuwa na picha ya Nyerere kwa mbele na nyuma yake jamaa wanavua samaki kitu kama hicho!.. nitanunua kwa bei nzuri ya maelewano!!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Unaweza kujifunza kitu kwa awa vijana wenye umri chini ya miaka 30 lakini kwa ubunifu na juhudi zao wamefanikiwa kuwa matajiri. LORNA RUTTO,Mkenya Ana miaka 28 ndio mwanzilishi wa ECO POST...
4 Reactions
47 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…