Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jinsi kidole tumbo kinavyoonekana kwenye mwili wa binadamu. Picha ya Mtandao. Tatizo hili haliwapati watoto wenye umri chini ya miaka miwili na huwapata zaidi watu wenye umri kati ya 15-30...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Wakuu hili swala linaninyima raha kila siku ya uchao kwa mungu. Naumia roho zaidi hasa ninapo waona wenzangu wenye navyo(VITAMBI) jinsi wanavyopendeza..hasa wakichomekea kidogo alafu wakimalizia...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
nimewahi kuandika humu sikupata attention. nimeona watu wanatafuta msaada wa figo kwa wagonjwa wao ambao baadaye wameripotiwa kufariki kwa kutozipata. mimi niko tayari ku donate figo moja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Redirect
Mke wangu ana mimba ya miezi 3 ambapo juzi ameenda hospitali amegundulika ana malaria (wadudu 2). Sababu kubwa ya kuandika huu uzi ni kuwa amepewa dawa za quinine ambazo zimekuwa zikimsumbua...
0 Reactions
Replies
Views
Jamani wadau naombeni ushauri, nikiwa nafanya tendo la ndoa nafika kileleni haraka sana,nitumie dawa gani kutibu tatizo hilo?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habari wataalam. mimi huwa napatwa na tatizo lakuvimba chini kidogo ya sikio uvimbe huwa simkubwa sana nikama kijipu uchungu hivi. lakin chenyewe huwa kinakaa kwa mda mrefu mpaka kuiva nakupasuka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeona nyuzi zako nying hapa ambazo daima zimejaa hekma busara na elimu aidha kuhusu magonjwa au tiba au kinga.Kwa kwel nimevutika na maarifa yako na chemchem yako. ninachotaka kujua jee una...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu, Mama watoto wangu ni mjamzito,huu ni uja uzito wa pili,ameanza kliniki kwa wakati. Mara ya mwisho kwenda kliniki ameambiwa apime Ultra Sound. Daktari wa ultra sound amemwambia ana...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
nifanyaje niache kutema mate na kutapika mjamzito
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mwanangu ana utando mweupe mdomoni ukiambatana na vidonja,inadaiwa kuwa ukitokeza mkunduni haponi ng`o.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam wakuu, Mi kwa kifupoi ningependa kufahamu kuhusu lile swala la kwamba coin ya shillingi mia kua inaweza kuabsorp snake's poison kama ikitokea bahati mbaya umeng'atwa and what's the...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
habari za sasa wana jf wenzangu naomba nipate mawazo yenu ama msaada kwa haya majanga.Mimi ni kijana wa kiume,miaka 19 nina tatizo la kujamba sana tena kila wakati,shida zaid ni kwamba huwa si kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
^^ Jana nimepata mgeni aliyekuja kunitembelea.Lakini alikuja kunijulia hali alipopata habari kuwa naumwa,na nipo naendelea na dozi. Lakini jambo moja lilinishangaza pale aliposema '...nakuonea...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar mwanajf. Ninamtoto ambaye ana mwaka na miez 2. Lakini paka sahiv atambai wala asimami dede hata wazo la yeye kutembea hana. Inaniuma sana mwanangu hata nkimsimamisha anakunja miguu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf naombeni ushauri nina mpenzi wangu wa kike anamatatizo ya moyo sasa tukiwa kwenye kale kamchezo huwa anachoka sana yani akijitahidi sana mara mbili na huwa anachoka sana sasa mimi...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau habari zenu! Tafadhali naomba kujuzwa kwa anaejua. Hivi mimba inapokuwa imetunga nnje ya mfuko wa uzazi ni sherti itolewe au kuna njia nyingine mm'badala wa mimba kuendelea...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ukijaribu kufikiri kua more than 20 people use the same shaving mashine kwa siku unapata picha ya kuambukizana magonjwa. Kama sio yale makubwa basi ni mengine. Ingawa wataalam wanasema kua sio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Taarifa iliyotolewa na shirika la habari la Uingereza BBC, Julai 8 kuhusu utafiti uliofanyika nchini Uingereza uliowahusisha watoto 11,000 wakifuatiliwa kuhusu ratiba zao za kulala na kupima uwezo...
3 Reactions
3 Replies
4K Views
Hallo wanajamii. Ninaomba Mnyambulisho kati ya HIV 1 and HIV 2. Kuna tofaut gani? Kati ya HizO hapo Juu. Je Ni aina Ipi ambayo huambata na Dalili za Mkanda Wa Jeshi!? Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomba kuulza nyie madoktaz, et kwa mwanaume kuchelewa kupz n tatzo la kiafya au n hal ya kawaida....!!?
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Back
Top Bottom