Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mm ni kijana umri ni zaidi ya miaka 30. nilipatwa na tatizo la mbegu kupungua kila baada muda fulani (meizi kazaa) na niliwahi kufanikiwa watoto uko nyuma lakini kwa sasa imekua mtihani, kwani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa sasa kuna idadi kubwa ya watu wanaofanya uzinzi/uasherati baada ya kujipima kwa kutumia hivi vipimo vya bio line ili kujua kama wameathirika na ukimwi. Naomba kufahamishwa uhakika wa hivi vipimo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nimekua nikisikia kwamba eti mtoto akianza kuota meno huwa anaharisha. Mwanangu mi alipoota vijino vinne vya mbele sikuona hiyo hali ila sasa ameanza kuongeze mengine naona choo chake...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Matatizo ya kibofu cha mkojo yanasumbua wazee wengisana africa na dunia kwa ujumla.Unapozungumzia prostate anlargement-ni tatzo linalosababishwa na kukua kwa tezi ambazo zikishakutana husababisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wana jf. hiki ni kitu gani; nikienda kukojoa napata mauvivu mkojo ukikaribia kuisha pamoja na damu kutoka. je hili ni tatizo gani? msaada wenu tafadhali
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Me naumwa minyoo ambayo huwa nahisi kama wadudu wanatembea ndani ya mwili nilienda kupima nikakutwa nayo bt nimetumia dawa mbalimbali huwa nahisi unafuu kisha inarudi after 2 weeks nimetumia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nna rafiki yangu ana tatizo la muwasho ukeni kutoa ute mzito wenye harufu vijipu vinavozuka na kupotea vinatoa usaha ...pia huenda hedhi baada ya kukaa mda mrefu sana hata miez sita hadi nane na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba msaada wenu wa kimawazo na tiba mke Wangu anaujauzito Wa miezi mitatu kila ikifika joini anapatwa na kikohozi cha ajabu muda Wa dk 35-45 na baada ya hapo anapata ahueni na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba kuuliza kwa wanaojua, ulalaji wa style ktk mapenzi unaweza kusababisha kutoshika mimba?
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Naombeni ushauri jamani nipo kwenye ndoa nina mwaka sasa natafuta mtoto na mke wangu imekuwa ngumu,nimepimwa sperms zipo poa na yeye kapigwa ultrasound yupo poa, mpaka najiuliza labda tunakosea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekua ni story kwenye jamii yetu kwamba ukikwangua vocha za simu kwa kutumia kucha inaweza kukuletea madhara ya cancer je ni kweli?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Warts Removing Solvent Au Warts Removing Paint.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani waungwana salama,nina mpwa wangu ana umri wa miaka 3 na mpaka sasa ajaanza kutembea bali anaishia kutambaa..Je atakuwa anatatizo gani,
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nililetewa zawadi ya shower gels za Axe toka U.S na shem wenu.Nikatokea kuzipenda sana kutokana na harufu yake nzuri,si mnajua tena,pale kwenye label yake imeandikwa UNLIMITED FEMALE ATTENTION...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari zenu wadau? mimi ni mmoja kati ya members wa jf wa muda mrefu! nimeamua tu kutumia hii id just to reserve my face from stones! jamani ni hivi, hapo kabla nilikuwa na tatizo kubwa sana la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuna sana ulimi jamani je nimekosa madini flani mwilini ama ni nini? ......nifanyeje ili niache?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Warts Removing Solvent Au Warts Removing Paint.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natokwa na majimaji ya mataminio mara kwa mara hata bila kufikiria kwa muda mrefu
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Namna ya kupata mtoto wa kiume au wa kike tukiweka mambo ya imani za kidini pembeni
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Back
Top Bottom