Nilifikiri nimeona maajabu yote kwa dunia hii.. but jana ninemwona kijana mmoja mwenye umri wa miak 16 kaingia baa na kuagiza 4 bottle of heineken na kuzinywa zoote na kukuanza kuondoka, muhudumu...
Hebu tuzitaje kero zinazotukabili naanza mm
,kuna mdada nilimdate tulipoachana akantangaza eti tukisex akikohoa kibamia kinatoka ...hapo nikaukumbuka wimbo "...dunia hii mama lukumba Lukumba .."
*Wife amesafiri hapa, nimevaa zangu taulo naenda chumbani kwa house girl kumuuliza kapokeaje uteuzi huu wa baraza jipya la mawaziri*
_Napenda ku exchange ideas_
⛷♂
Nina project kubwa ya kufanya compilation ya maneno ya utani utani kama yanavyoshamiri humu JF na duniani kote kwa ujumla.
Sasa, naombeni mniandikie utani utani hapa then niyakuchukue yale mazuri...
Short Facts......
[emoji295][emoji295][emoji295][emoji295][emoji295][emoji295][emoji295][emoji295]
Wife : "why are u home so early?"
Hubby : "My boss said go to hell!"
[emoji38][emoji39]...
Mambo yasiyo paswa kuhusishwa na SIASA
1. DINI
2.ELIMU
3.AJIRA
4.ULINZI (MAJESHI)
NI MTAZAMO WANGU tahathari kwani haya Ndio vitengenezavyo uhalisi wa mwanadamu.enyi viongoz fanyeni siasa zenu...
1.le baharia kasem anafikilia kuoa,
2.mtangazaji kasem baharia ni tajiri mkubw,
3.amegundua divorce ni mungu alimp nafas ya kupumzka ,
4.ana mpenda rose ndauka na ana wish ange date nae ...
Leo nilikuwa kanisani naongoza kwaya. Tulikuwa tukiimba wimbo wa ("mwili wangu ni hekalu la roho mtakatifu *2
mwili wangu ni makao ya yesu") kwa bahati mbaya ukaniponyoka ushuzi. Ushuzi ulikuwa...
Uzi huu maalumu utakua kila siku mtu yoyote anaelezea salio lake la M-PESA/TIGOPESA/HALOPESA/AIRTELMONEY, au BANK kwa kutumia EMOJI au ana update emoji yake kwa siku husika kuelezea salio lake...
habari zenu wadau. Leo nimemkumbuka Frank Mtao mtangazaji aliyejipatia umaarufu kweny kipindi cha Nani ni Nani, ktk channel Ten. Ni muda mrefu umepita bila kumsikia..mwenye taarifa atujuze. Ahsanteni
jukwaa hili kwa sasa limekimbiwa na wale wakali wa kutoa thread za kuondoa stress,tunawaombeni mrudi bana watu tuongeze cku za kuishi maana haya maisha full of stress.
nawasilisha