Habari zenu wakubwa zangu, wazee wenzangu mayanki wenzangu kwa vile vizee vilivyomo humu shikamooni.
Ni kawaida yangu mimi kushinda jf maana naona ndo sehemu pekee inayonipa burudani na...
Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani
Mwanamke yupi amechangia kuifanya jf motooo!
Kwa michango yake ktk nyuzi na namna anavyotuelimisha na kutuchangamsha
Categories ni
Mburudishaji bora...
Yani watu baada ya kugundua tu kuwa wameanza kushikwa pabaya na wachimba mafuta,bila ya haya wazee wa kimila au timu ya fundi wale wapiga ngoma si wakatuma mizimu yao ikazima umeme.
kuona haitoshi...
Kumekuwa na kasumba humu ukileta jambo lako ili usaidiwe kimawazo basi wataanza kukunanga na kukuletea maneno ya jeuri eti oooh!Nyie wanaume wa Dar ndivyo mulivyo! Ina maana sisi wanaume tunaoishi...
Kumekua na tabia ya wanawake wanakufata inbox wanakutamanisha kwa meseji tamu sana na hata kama hukua na mpango wa kununua show basi unajikuta unashawishika. Anakupa list of services na zote huwa...
1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr
Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!
Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii
1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya...
SOMA KISA HIKI
Ikiwa yapata dakika 45 toka ndege ilipotoka uwanja wa ndege,ndege iliyokuwa imebebe zaidi ya abiria 400.
Ikasikika sauti toka kwa rubani ikisema,injini moja haifanyi kazi na...
Nashangaa basata badala ya kufungia wimbo wa ccm mbele kwa mbele wao wanafungia wa kibamia, inamaana basata hawafahamu ya kwamba ule wimbo wa ccm mbele kwa mbele hauna maadili kabisa na haufai...
Kuna mtu alitaka kununua ubongo ambao uko used (kama vile tunavyonunua used cars)
Ubongo wa mzungu ulikuwa bei ndogo kabisa (dola kumi)
Ubongo wa mwarabu upo bei juu kidogo (dola Ishirini)
Ubongo...
Heaven on Earth
Huyu mrembo amepotea kwa muda usiojulikana, mara ya mwisho alionekana mitaa ya Biashara na Uchumi, huwa anapenda kutembelea mitaa ya MMU na Chit Chat. Popote utakapomuona unaombwa...