JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Matatizo ni pale Shangazi yako ameposti picha mtandaoni.. sasa ukataka kuandika "nice pic ukaandika vibayaa. ikasomeka "nice pig "..kibaya zaidi Shangazi yako ni mnene!! my friend jiandae tuu...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Nimejaribu kukaa na kutafakari nimegundua Kuna changamoto sana kwa wanawake wasomi na wengine baadhi ambao sio wasomi ila wana tabia za ubabe Wanapokua kwenye mahusiano wao ndio wanataka...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Tangu mwaka 1977 Huu ndio mwaka kilichotengenezwa kinywaji bora zaidi duniani Hakika hakuna bia kama safari,bia imeivaa sana itakua inapikwa na mwanamke
2 Reactions
6 Replies
867 Views
Sekunde 40 tumkumbuke Dokta.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Utakuta kijana kamaliza chuo halafu ajira Hana na jamii inatambua kua yeye Ni msomi hivo anaona Ni kijidhalilisha kufanya shughuli za kitaa za tofaut na taaluma yake ili apate pesa Mwisho wa siku...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Abiria wote kutokea Mkoani Mara ( Musoma ) waliokuwemo katika Kivuko cha MV Nyerere kwani inasemekana katika wale Abiria wote waliookolewa hadi hivi...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Juzi Jumatano nilikua namnunulia mtu voucher kwenye Max malipo ya elfu 10 nikakosea namba ikaenda kwa mtu mwingine. Leo asubuhi nilikuwa namtumia dogo hela nikakosea hapa nasubiri ndani ya hizi...
12 Reactions
314 Replies
17K Views
Jamani hivi huyu video queen wa ka Kayumba kwenye wimbo "Mazoea" huwa najiuliza huu urembo wake au nini? Maana yaani ameingia kwenye vigezo vyote vya mwanamke mrembo wa kuoa. She is the most...
3 Reactions
77 Replies
13K Views
Mimi nilikuwa nasikiliza sana Dr. Dre Chronic 1,2...Snoop Dogg Doggy Style...Fabolous....Tupac All Eyes on Me....Warren G Regulate...Jay Z Blue Print Vol 1,2,3...Naughty by Nature O.P.P. Hip Hop...
6 Reactions
270 Replies
20K Views
Hii ni kwa wale ambao walikua wakienda English Course kabla ya kuingia form one na wakati wa likizo.. Naomba muwasalimu sana hapo Uingereza. Natumai London karibu kipindi cha baridi kitaingia.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Natoa wazo binafsi kama mtanzania mzalendo, "Futeni uchaguzi wa jimbo la Liwale na zile kata 37. Pesa ya kuandaa huo uchaguzi wa marudio pelekeni rambirambi kule Ukerewe. Halafu hilo jimbo na hizo...
1 Reactions
1 Replies
828 Views
Wanawake wenzangu tuambiane kweli ya moyoni mwanaume yupi mwenye mvuto kwako wa humu jf? Unavutiwa na nini kwake, tuwe wakweli na wa wazi. Binfsi navutiwa sana na mapanga3, kinachonivutia ni...
32 Reactions
727 Replies
64K Views
imeshawahi kukukuta hiyo shababi mwenzangu? ukajikuta tu tango limenyooka sehemu ata haistahili? hukuaibika? au ile unasisimua mnara kwa mtu ambaye ni aibu kabisa, labda tu umeona nyeti ya ndugu...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari wanajamvi naomba kuuliza anayejua upendo radio Dodoma n ngap ngap anisaidie plz!
1 Reactions
14 Replies
866 Views
Sekunde 50 hapa za kuondoa vi stress.
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu naomba kujuzwa namna ya kufuta post humu jf
0 Reactions
0 Replies
610 Views
.
1 Reactions
80 Replies
4K Views
Kipindi cha utotoni kimenifanya kukumbuka mambo mengi sana, utotoni nimekulia mtaa wa watoto watukutu sana Wakiislam, Mtaa wa Kilima-Nyihogo hapa wilayani Kahama, mkoa wa Shinyanga. Kulikuwa na...
9 Reactions
63 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…