JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Umepata chance ya kutengeneza movie inayohusu maisha yako, money isn't an issue, unaambiwa mchague mwigizaji yoyote yule, iwe wa hapa Tz au nje ya nchi atakaeigiza sehemu yako kwenye hiyo movie...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Jumapili usiku wa sa mbili hivi nilikwenda Stand Kuu ya mabasi yaendayo na yatokayo mikoani na nje ya nchi pale Ubungo ili kumpokea mjomba wangu aliyekua anatokea Tabora. Nilipofika pale...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Haaaa.....hv kumbe JF HQ Chugga tuna mvuto.....kuna hatari ya ndoa za watu kuvunjika hapa....hivi Madame B kapatwa na nini...? ni PJ kamzuzua au Arushaone.....? ki ufupi Tanga kunawaka moto wa...
6 Reactions
66 Replies
4K Views
Habari wanajamvi? Tanzania imebahatika kuwa na makabila mengi sana zaidi ya 100. Mababu zetu huko zamani walianzisha utani kati ya kabila moja na lingine ili kudumisha mahusiano mazuri pindi uwapo...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Natumai kuwa sote tumeamka salama salmini! Shukran kwa mwenyezi Mungu Pole kwa walio wagonjwa Na inshallah Mungu atawapa wepesi Leo tupo Na mrembo geniveros Twende sawa DJ sepetu
2 Reactions
633 Replies
34K Views
Lady and Gentleman habali za asubui .Natumain mu buheri wa afya bila kupoteza muda niende straight to the point lakin mtanisamehe Sana sababu ya huu uandishi wangu kwakweli hata mm napata tabu...
8 Reactions
42 Replies
4K Views
Natoa pongezi kwa update zilizofanywa na uongozi wa JF kwenye app yao.kwa kweli imekuwa na mwonekano mzuri. Ni hayo tu
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Mpaka mda huu bado nawaza tu Ila akili ikanambia niwashirikishe na nyie ili nipate jibu HIVI TEMBO ANACHUKUA MIAKA MINGAPI KUOZA NA KUBAKI MIFUPA pindi amekufa[emoji58][emoji58][emoji58]...
1 Reactions
4 Replies
747 Views
Habarini za mida wana jf, Mwenzenu nimekuwa katika hali ya mateso ya uchovu usioisha na mara nyingine kutapika kila asubuhi kwa muda mrefu sasa yapata miezi misita sasa na mke wangu mjamzito...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari ndugu, jamaa na marafiki Nimetukanwa sana kwenye post zilizopita But napoteza coz natambua ndo mambo ya kijamii tunapitia sehem nyng na mambo mengi pia LEO NAWATAMBULISHA MZIGO MPYA KUTOKA...
0 Reactions
4 Replies
671 Views
MndemeImran✍🏿 Awali ya yote naomba kutoa pole zangu kwa Ndgu, jamaa, marafik na wafiwa wote wa Ajali ya Mv. Nyerere.. Taifa kwa ujumla tunaombeleza kwa uchungu msiba huu mzito uliotukuta...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hiyo siku ilikuwa kituko nimetoka zangu chuo nimefulia nipo weekend kwa mpenzi wangu kupiga jicho naona wallet imenona ikabidi niibe laki na elf 30 nikaziweka kwenye mkoba. Haya tukalala kesho...
12 Reactions
145 Replies
8K Views
Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2018. Piga kura kwa member unayeona anafaa tangu tuanze mwaka mpaka sasa napendekeza categories kama ifuatavyo then members unapropose nani anafit kuwa mshindi! 1...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Ukiona unaanza kummiss X wako tena aliyekuumiza mno sana, chukua Biblia/Qur an usome... huyo ni shetani.
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Maze Poleni kwa Msiba wa MV Nyerere wanakijiji wenzangu. Otherwise how is life here in Tanzania treating you guys Wengi tumebadili lifestyle
2 Reactions
16 Replies
1K Views
-Je hy shule ilikua chaguo lako? Kwa maana uliichagua mwenyewe? - ulikua na picha gani kichwani mwako kabla ya kufika hy shule? -ulipelekwa na mzazi/mlezi au ulikomaa mwenyewe? Habari wakuu, ni...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wana JF sijui hili litakua tatizo, kila jambo ambalo nalihisi basi hutokea kweli nikihisi muda huu nitatumiwa sms na mpenzi wangu basi inatokea kweli ananitumia sms Kuna siku nyingine...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
KAKA ZANGU [emoji1314]Mwanamke pekee unaeweza mmiliki ni binti/mwanao wa kike tu DADA ZANGU[emoji1314]Mwanaume pekee unaeweza kummiliki ni your SON tu..... ZINGATIA ILO WENGINEO NI KAZI YA ZIADA TU
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Unatakiwa kuwa smart mwili roho hata vitu vyako Simu zilizopasukapasuka vioo waachie wachimba madini na wagonga mawe Unapata hela ya jinzi unakosa ya kubadilisha kioo cha hiyo techno yako Nitarudi
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…