Kuna hili suala la majina yetu. Inafahamika wazi kwamba tunapozaliwa, mara nyingi shughuri ya kwanza kabisa inayofanywa na wazazi au walezi wetu, ni kutupatia majina 'yao' wanaojisikia au/na kuona...
Habari wanajamvi?
Katika mitandao mingi ya kijamii kama JF, FB, TWITER, INSTA na mingineyo mara nyingi watu hutumia majina ambayo si halisi. Hata picha pia ambzo huweka katika plofie zao huwa si...
Habari wana jamvi?
Mchana huu nilipata kausingizi kadogo. Mara kakanijia kandoto katamu sana, nipo maeneo na dada mmoja ambaye ni jirañi yangu tunakula raha. Mzee bila kuchelewa nikaanza kumpapasa...
Jei Efu ni raha sana kama intaneti na bundle lenye salio bila ya kuperuzi mtandao kwenye simu aina ya smartphone iliyo na charge kama ya betri isiishe ukaijaza kisha unasuuukuma ndani wote kabisa...
Achana na kabichi kwanza ukiwa na hela vyakula gani unatakiwa uvipige kwa wingi ili kufidia zile haso na misoto uliyopitia kitambo.
Najua papuchi lazima zimegwe sawa tena ukianza na wale...
Natabiri kwamba huu msemo utakuja kuwa trending sana baada ya msemo wa Muroto kule dodoma wa Mtapata Tabu sana.
Msemo wenyewe ni huu.
Fyekaaaaaa fyekaaaa fyekelea mbaliiiii.
[emoji23] [emoji23]...
Mambo
Jana bwana nipo zangu maghettoni nakula movie mpangaji mwenzangu akawa ameenda kumuogesha mtoto wake sasa dogo alitangulia maliwatoni huku mama akimalizia shughuli zake.. Mara dogo akawa...
Ni kama msimu tu ndani ya JF kuna kipindi ID flani zinakuwa trending mfano Joseverest lakini siku zinavyozidi kwenda zinapotea na kuibuka trending ID nyingine.
Kwa sababu JF hakuna list ya...
warembo wengi hapa jukwaani wengi ni watoto wa jangwani..warembo hao ambao wanaonekana wako vizuri upstairs na ni pini kweli kweli(kwa sauti ya jiwe) huwaambi kitu mbele ya yanga wakiongozwa na...
Karibuni kwenye Jf Voucher Game ili uweze kujishindia Vocha ya shilingi Elfu moja(1000),Vocha ya buku kila Siku .
Game litakuwa linachezwa kwa Kuweka namba zote za Vocha kasoro Namba moja tu ya...
Habari wanajamvi?
Katika ziàra zake akiwa Kanda ya Ziwa Mukulu alitoa agizo kwamba katika kipindi chake tufyatue tuwezavyo. Agizo hilo mimi nililipokea kwa furaha kwa mikono miwili, na nilipanga...
Habari wanajamvi?
Sasa hivi hii tabia ya usomaji wa plate namba imeshamili au tuseme imekuwa kama amri fulani hivi. Mtu akipishana na mdada lazima ageuke asome plate namba, ikitokea umemzuia kwa...
Salamu wakuu,poleni na majukumu ya hapa na pale
Siku chache zilizopita baba mwenye nyumba alikuwa amenibana kweli kuhusu kulipa kodi ya nyumba ,yaani kabla ya tarehe 20 alikuwa kila mara...