JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
¤Ni Mchumba wa kajala ¤Anunua Mtaa Na mwandishi wetu. Mtanzania mwenye utajiri wa ajabu rooney amefanya kufuru baada ya kununua mtaa mzima mwananyamala kwa kopa na pia kuvunja kituo kidogo cha...
3 Reactions
65 Replies
17K Views
Mukiambiwa mna tabia za kiwaki mnaona kama mnaonewa...
25 Reactions
236 Replies
17K Views
Nimezaliwa singida mjini nimesoma shule ya msingi Mughanga hapo hapo Singida Mjini. Secondary nikasoma hapo hapo Singida Mjini shule za Kata alizotuchangia Sana Mbunge Dewji. High level nikasoma...
8 Reactions
257 Replies
34K Views
Kuna siku nilichacha siwezi kuisahau maishani. Nilibakiwa na 10,000/- mfukoni. Sasa nilikuwa najisikia vibaya nikaenda kupima malaria nikawa ninayo. Nikawa njia panda, ninunue dawa au chakula...
14 Reactions
281 Replies
16K Views
```1. Usimpigie mtu kwa zaidi ya mara mbili mfululizo. Ukishaona simu yako haipokelewi basi elewa kuna sababu ya msingi acha subiri akupigie pindi atakapoona ulimtafuta. 2. Rejesha pesa ulizokopa...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Daahhh si nimetuma picha ya manzi yupo uchi kwenye grupu la directors. Kwa haraka niwahi kufuta nikajikuta ni delete for me badala delete for everyone. Imebid ni left grupu tuuu Sent using Jamii...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zilizopatikana Dodoma ni Kuwa Rais Bashir wa Sudan katuma ujumbe kuwa anajuta kupuuza ushauri wa kumuagiza na kumuajiri Kamanda wa Polisi Dodoma mzee wa "Watapigwa wachakae" ambaye...
1 Reactions
2 Replies
876 Views
Ebwana kipind nipo mdogo nlikuwa nataniwa *NYITWE* kutokana na kichwa changu kilivokuw kikubwa (nyitwe kwa kisukuma ni kichwa kikubwa) sasa tani hili nlikuw nkitaniwa nalia sana ama nazila kula...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni kwa Wanaume tu wadau, povu ruksa.... Yani moyo unaparika wakati wife ni mzuri tu Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
36 Replies
4K Views
SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA. 1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu. - SUA. 2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi. - MUHIMBILI. 3...
3 Reactions
67 Replies
9K Views
Imagine coming back from work and your kids call you Daddy! Daddy! We have washed your Laptop. What will be your reaction? Sent using My bundle
1 Reactions
5 Replies
1K Views
TOFAUTI YA UCHANGIAJI WA MADA KTK FACEBOOK, KATI YA MAREKANI NA BONGO: Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi yale mapenzi ya mpenzi nipepee mpaka nilale bado yapo? Nimeyamisi sana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Inakuwaje mdada una kalio dogo flat halafy unasubiri kutongozwa?
5 Reactions
112 Replies
7K Views
Naanza Madame B -huyu ni kati ya 28-35 mchakarikaji hapendi kuajiriwa ajiriwa,huyu suruali anavaa sana Mzigua90 - huyu ni kati ya 25 - 29 huyu ni muajiriwa wa kampuni binafsi,anajipenda sana...
21 Reactions
670 Replies
39K Views
Baada ya list ya kwanza ku base upande wa wanaume. Japo kulikuwa kuna wanawake wachache.. Sasa baada ya kuwasoma kwa muda mrefu nawamwaga hapa.. Wale wenye nyodo nafasi zao hazipo.. Shadeeya -...
15 Reactions
213 Replies
12K Views
Jana nilikaa na mwanangu wa miaka 4 na ushei hivi,nilizungumza na kucheka nae kitoto,niligundua anajua mambo mengi ya ulimwengu huu wa digitali,likanijia wazo la kumuhamisha chumbani kwangu ili...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kupitia hizi picha,kupitia huyo alieko kwenye picha..? Usimdharau mtu kwa hali anayopitia.huijui kesho yake atakuwa nani(picha ya kwanza) Nawe unaetafuta usikate tamaa,kesho yako...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma...
33 Reactions
342 Replies
21K Views
Mtapigwa mpaka mtachakaa. Mtapigwa kipigo cha mbwa koko Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…