JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwakweli hali imebadilika sana sijui tunaenda wapi. Juzi nilikuwa nimeekeana miadi na dem mmoja hivi mzuri sana kwa sura na umbo. Tulikubaliana tukutane gesti moja mitaa ya savei basi alikuja...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Dah! Wadada wa dar na nyie mmezidi sasa kama unauza misosi si utuwekee picha/video za misosi tuione, wewe unauza misosi lkn unatangaza makalio, hivi ulisomea wapi kozi yako ya...
3 Reactions
49 Replies
10K Views
Ndege mwenye maajabu kushinda ndege wote ulimwenguni, nyumba yake anayolala...kaijenga kati kati ya shina la mti, mfano mti wa mbuyu katoboa pango, mule na ukibahatika kuona nyumba yake, anayolala...
2 Reactions
71 Replies
24K Views
Je unajua kutumia/kudownload whatsap 2 kwenye Iphone yako Iko hivi Instagram 2+ Facebook 2+ Whatsapp 2+ Gmail 2+ Je unajua kuchange front kwenye iphone/Ios Yako Without jeilbreak Tuonane sasa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu samahanini kwa kuwasumbua akili.kifupi nataka kujua watu wangu ambao tunaenda nao sawa humu ndani na wale ambao hawanifagilii Kama una yakubali madini yangu sio miyeyusho andika "1" Kama...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Mimi nafikiri Kama Ni tuzo imeletwa wanagombea watu wawili mshana Jr na Paschal mayala me naona itakuwa ngumu Sana kujua mshindi Nani maana wote Wana jua secret knowledge kwa kiwango...
3 Reactions
223 Replies
10K Views
Uzi wa mazero huu humu ni kupost vitu ambavyo havina msingi vile vitu vya ovyo ovyo. Note. Usiingie humu na kujua labda utapata kitu cha maana humu ni kwa mazero tu Cc Zero IQ
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Hivi kwanini modes mnapenda kunyanyasa watu.Nimeangaika kutuma maombi ya kupata leseni ya kuingia jlw kwa tabu.Nimeendika barua kama naomba kazi,chaajabu nimefika huko sijatimiza hata mwaka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jf banah .. ..ukiwa mwanaume ambae ni gender sensitive and tender to family unaonekana sio kabisaaahh. Mfano Kuna jamaa ana Uzi wake kuwa yeye umkabizi Mrs wake mshahara wake wote na maisha...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Asee mambo vipi wadau. Kuna haka kamsemo kitu fulani kama yote.....au kama zote........kama lote. Wanamaanisha nini hawa watoto wa Dar es Salaam?
3 Reactions
100 Replies
10K Views
Jamani tukaribishane kupitia huu uzi. maana pasaka inakaribia. Uchoyo sio mzuri mie nikikaribishwa sili sana. nakula masinia mawili ya ubweche plus udambwiudambwi mwingine (msiogope hicho ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
[emoji305][emoji305]UJUMBE WA LEO[emoji305][emoji305] . [emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771][emoji771] Ajali kumi mbaya . . Hizi ndio ajali mbaya kuliko zote hapa...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Thank you GOD for giving me another year of life. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Leo nimeingia Jijini Dasalam, I'm interested kuwaona hawa Wanaoitwa "Wanaume wa Dar ".Ninataka kufanya Utafiti kujua Ukweli wa tuhuma wanazopewa km vile Uoga, Performance ndogo kwenye ule...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Kama umenunua godoro hv karibuni, au unajua tuu bei.. naomba msaada, please sema bei na brand ya godoro..
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Story iko hivi. Nimewahi kuwa na mahusiano na dada mmoja hivi sasa huyo dada alikua na tatizo moja yeye hajuagi neno msamaha yani kutamka hilo neno ni kwa mbinde sana. Alikua na tabia ya...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
IF THE SUN COULD ROTATE 30 DAYS FASTER, WE COULD GET OUR SALARIES DAILY. THE WOMEN COULD BLEED TILL THEY DIE
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Shukrani za kwanza zimuendee Nyani Ngabu The Don! kwa kuitikia wito wa mahojiano haya ambayo yatakuwa yanahusisha vitu vingi sana ikiwemo MAPENZI &MAHUSIANO, MARAFIKI, UTAJIRI&MALI, FURAHA...
15 Reactions
428 Replies
42K Views
ninahutaji kijana wa kuniuzia cookies stand ya mabasi ya MUHEZA TANGA, cookies pakiti 1 nauza sh.1000 atakuwa anawatembezea wasafir!!! mshahara maelewano ila tu auze pakti zisizopungua 16 kwa...
2 Reactions
1 Replies
612 Views
Leo ni siku maalum kwangu, ni siku ya kumbukizi ya tarehe ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru sana Mungu kunijaalia pumzi kuiona siku hii adhimu. Naomba uendelee kunijaalia afya, hekima na busara...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…