JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tumemshinda brentford ila bado sana tunasusua.
2 Reactions
2 Replies
358 Views
Najua mambo kadhaa ikiwemo ; 1. Wanapenda amani na utulivu. 2.Si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba. 3.Wanapenda sana kunyanduana. 4.Wanafanya kazi kwa bidii sanaa...
14 Reactions
57 Replies
8K Views
Karibuni mtaani.
4 Reactions
58 Replies
7K Views
Habari wakuu, Poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Kuna jambo nilianza kuliona tangu mwaka 2010 na limekuwa likiendelea siku hadi siku, miaka hadi miaka. Nimetokea kupendwa sana na watu wenye...
9 Reactions
83 Replies
5K Views
Vip wakuu ushawai kutana na gasia ya kuazimwa chaja? Na aliezima hayupo? Ila ni kero Balaa. Hivi adi chaja? Unakuta mtu hana kabisa chaja na anamilik tambo la 300000+
1 Reactions
24 Replies
994 Views
Hii ni thread maalumu kabisa kwa wale ambao wako single na wanataka better half, pole pole mjuane. Huwezi jua umepangiwa utakutana nae vipi Walio kwenye relationship nyie tulieni acheni wenzenu...
16 Reactions
491 Replies
11K Views
Kampuni yangu pendwa ni Allys Sport Bus ambayo kwasasa inaitwa Ally Star Bus [emoji93] au unaweza iita (Chungwa [emoji521]). Hii kampuni inajali sana muda. Yaani hawana gari mzaha hata moja, zote...
11 Reactions
184 Replies
11K Views
Wana Nsumba mpo? Nilikuwa Nsumba Sec toka 1981-1984! It was nice experience and great school ever attended!Walimu wetu wakina Michapo,Bia ,Kikuli na wengineo.Mshikaji ,Mdundo etc.Bila kumsahau...
2 Reactions
97 Replies
34K Views
Hivi nyie Hili swala mnalichukuliaje unamwazima MTU kitu hakurudishii mpaka ufate na usipofata ndo Ivo kimaya"
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Bila kupoteza muda wakuu mnaopenda movie zenye maudhui ya uhalifu, mateso ya kisaikolojia kama The Platform au escape room mnaweza nipa list hapa nishuke nazo usiku huu wa mwisho wa wiki.
2 Reactions
4 Replies
521 Views
Yaani usipokuwa na mtu wa kumpungia basi imekula kwako. Ni kama vile huna dili kabisa. Watanzania tunapenda kusalimiana sana.
4 Reactions
16 Replies
778 Views
Kwa JamiiForums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is...
10 Reactions
53 Replies
1K Views
Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
55 Reactions
85 Replies
4K Views
Yani Jamii Forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya. Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni...
44 Reactions
921 Replies
24K Views
Matthew 5:5 AMP [5] “Blessed [inwardly peaceful, spiritually secure, worthy of respect] are the gentle [the kind-hearted, the sweet-spirited, the self-controlled], for they will inherit the earth.
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Kipindi tukiwa watoto, baba unakuta amesafiri, kaenda zake shamba wiki mbili au tatu, akirudi unaona mama kapika ugali-kuku na maziwa ya mgando ,mchicha pembeni na pilipili kichaa vijana wa mjini...
29 Reactions
69 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kama ilivyo kila mtu na starehe yake, wengine pombe, mpira, wanawake, uvutaji Muda si mrefu nilikua nipo kwenye PUBG MOBILE naplay na my teamates hadi saa saba usiku, tukiwa...
1 Reactions
6 Replies
475 Views
Siri ya utajiri ni ubahili. Je tujifunze kuwa matajiri kwa kuiga mfano wa matajiri kutoka kabila gani? Waha Wapare Wambulu Wakinga Wandali Wagogo
1 Reactions
3 Replies
412 Views
Kuna mji nilikaa sasa sikumoja kuna kitu nilikuwa natafuta,ktk harakati za kutafuta hicho kitu nikakikosa badala yake nikakutana na hiki kidonge size hiyohiyo ila chenyewe kilikuwa cha...
7 Reactions
10 Replies
913 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…