Nilikuwa KING MSWATI IV enzi zangu, naomba sana kama kuna aliye na mwanangu anipe sasa. Nimejadiliana na mke wangu Lady doctor tumeona tuko tayari kuanzisha ALCC. (Arushaone-Lady doctor Children...
Kwakweli huwa nacheka sana maana thread za huku ndani inaonekana kila mtu mambo safi, anadrive, ananyumba, ofisi safi, anaenda nje mara kwa mara, je sisi tuliopanga na tuna baiskeli tu
Tuendelee...
Nimejifungia zangu ndani natafuna karanga za maganda hapa, nikimaliza napata supu yangu ya sato mzima aliyewekewa viungo vya kila aina.
Baada ya hapo, nitapiga 'wine' yangu taratiibu; sijajua...
Habari wakuu,
Naomba kujuzwa kwa mtu aliye Mbezi Beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala .
Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.
Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.
Mshana Jr...
Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa.
Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
Nataka nijue tu kuna sometimes unaamua kupunguza kulewa kwenye ma bar na wanawake unaamua sasa kuwa unakunywa 2,3,4 mazingira ya karibu na nyumbani.
Ila mke anaanza kuleta tofauti anadai usinywe...
Kipindi cha uchumba: ushatolewa posa mwenyewe unangoja kufunga ndoa aisee hiki kipindi binafsi nilienjoy sana na sio Mimi tu Bali wanawake wengi hufurahia kipindi hiki..
Kipindi cha mimba...
Nawapenda sana na nawatakieni jioni njema wadada wa Jamiiforums mtag mdada unaempenda na unae mkubali sana mimi nawakubali hawa👇👇 FaizaFoxy
Kasie
Dr Lizzy
Depal dada yangu
Jadda
Kalpana
Unique...
Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula.
Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao...