JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hapa Mkenya anakuelekeza njia ya kufika mahali.. "CHAPA hivi hadi juction then NYONGA left hadi ufikie hiyo mlima UA kabisa hiyo mlima hadi Ukute Mosque.Utaona kichochoro on your right .KATA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mhhh! Yaani mheshimiwa kajua kutunyoosha kwa kweli, sasa hivi ukimpata mwanaume wa kukununulia bia tano bar bila shaka huyo atakuwa ni "kaka jambazi" wanaume wa Dar now wamebanwa wanasema hali ni...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wana Jf. Nimeamini kweli pesa ndiyo mpango mzima.Kipindi cha nyuma kijana ukiwa domo zege,sura mbovu hupati demu ila sasa hivi ni werawera pata PESA tu haoo utawaona wanakuja speed...
0 Reactions
3 Replies
895 Views
Nataka kuuziwa mkoa mmojawapo na watu wake, na vyote vilivyomo, naomba ushauri wako, ninunue mkoa gani na kwa nini unadhani ni sahihi mimi kuununua mkoa huo?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya kuwaza kwa sauti. napingana na hawa watafiti eti tunawaza kwa 1% tu. wengine watafiti wengine tena wamekuja juzi apa, Kati ya watanzania 4 mmoja ni Kichaa Mimi Hapana jamani Mimi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
*Posho za Mwenge* Mtumishi: baby Mchepuko: yes baby wangu,nambie Mtumishi: safi tu baby wangu...nikuombe kitu? Mchepuko: bila shaka niombe tu bby si unajua sijawahi kukukatalia. Mtumishi...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Zoezi la uhakiki halitasahaulika maishani!
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Sisi tunaoishi mwanayamala, ndugu zetu Wa magomeni mazense kagera tandale...kwa hilo tunashukuru sana Rais wetu Magufuri... Maana siku hizi japo sijaoa ila naamini heshima inarudi kwenye ndoa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
*Natafuta kiki Remix - Mtoto Nux* _Mbeya Day Records_ Nataka nitoke kwenye gazeti, Niuze sura Niseme nilichezaga karate Shuleni nipate bonge la kesi, Niumizwe sura, Nilete matata mpaka kwa Joyce...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Mpenzi wangu anafanya kazi PHARMACY Siku nikiamua kumuharibia cku yake Huwa naenda kununua CONDOMS for NO reason SOMETIMES naenda kununua hata mara tatu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naifurahia sana tamthilia hii.yaani sasa HV ni tamu.ulikuwa inaniboa ilivyoanzishwa miaka ya 90.lakini sasa ndio inavutia.maisha ya bongo yanaakisiwa sana.hongera lincon kwa kuwa Mwenye ukali Na...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
kwa mfano uongozi wa jf ukatoa ofa kwa kila member wa jf ampige ban ya wiki mtu mmoja..utampiga ban nani? Aisee mimi ningemdunda ban huyu anajiita cristela...aende akajipange upya.
1 Reactions
126 Replies
11K Views
Supasta alipopata mkwanja akaamua kuhamia mitaa ya watu wenye pesa akiwa na mke na mwanae. Siku moja mwanae alipokuwa anacheza na manati akavunja kioo cha nyumba ya jirani. Supastar na mkewe...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu.... Hizi ni alerts zangu za JF na zimepatikana kwa kutoingia JF kwa siku moja tu...... Umewahi kufikisha alerts hizi?....Kwa muda gani?......Show off your alerts here
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Utafiti wangu unaonesha wana JF wengi wanapenda 'michambo' kuliko mada.. Wakati mleta mada anaweza kuambulia likes mbili tatu, comment moja tu inaweza kuambulia hata likes kumi!
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Hata mimi nimetoka kapa,
1 Reactions
0 Replies
834 Views
Niaje wazeiyaaah.... EBANA SAWA : Cku ya tatu leo nipo naperuzi mitaa mbali mbali ya hapa wanapaita jiji la Mwanza..... Kwa kweli kitu kikubwa nilicho notice utofaut kati ya BONGO na mikoani ni...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
DELETED
1 Reactions
4 Replies
1K Views
helo wanajamvi... choo kikiwa cha kukaa alafu tumbo kwa mbaali linazingua ukiwa na smartphone siku inaenda poa kabisa.. upuuzi wa super nova.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…