JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
HAPA LAZIMA UKIMBIE Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya mbagara, akanistua kwa nyuma akisema "malogy mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu nipo k iongozi tunasindikiza wenye maisha...
3 Reactions
6 Replies
5K Views
Jamaa X kaitwa kwenye Usaili katika kampuni flani ile wamejipanga wanasubiria kuitwa ikifka zamu ya Jamaa X Ameitwa ile anaingia ndani akaambia WAIT PLEASE...Jamaa X akajibu 75kg boss. Ilibidi...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Ni matumaini yangu muwazima Ninataka kununua gari,mojawapo ya hayo magari huwa napenda harrier lexus au nissan xtrail wajuzi wa mambo naombeni mnipe details za haya magari na bei zake kwa sasa.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mods wana-favourism, Jamii forum kuna pendelea zaidi wanawake kuliko wanaume. Au anayemiliki hii Jamii forum ni mwanamke? Topic zinazoponda wanawake zinafutwa, lakini topic zinazoponda wanaume...
6 Reactions
68 Replies
5K Views
Ni wakati gani unakasirilika au uliwahi kukasirika sana na pengine ukatenda lisilotegemewa! Jibu ni rahisi sana. Fanya kuweka kumbukumbu ya mara ngapi unatumia maneno "kama" na "lakini" ambayo ni...
0 Reactions
1 Replies
643 Views
Habari zenu wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza naombeni ushauri nataka kufungua account ya US Dollars sijui ni benki ipi yenye masharti nafuu. Natanguliza SHUKRAN!
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Two ghosts met and both chat about how they died. 1st ghost : How did you die? 2nd ghost : I died of cold. 1st ghost : How does it feel when you're dying in cold? 2nd ghost : Actually, I was...
12 Reactions
15 Replies
1K Views
Mayai ya kienyeji yanapunguza sana ujasiri, wanaume wa dar hapana. Mwenzenu anapigwa adi kutolewa macho nyie mnakula chipis pembeni??!!!!!!!!! Bora muamie Dodoma kije kizazi kipya na shupavu
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni kwenye magazeti mbalimbali kulichapishwa habari kuhusiana na utafiti wa vichaa uliofanywa hapa nchini. Utafiti huo ulionesha kuwa kati ya watanzania wanne basi mmoja ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko. Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi: *MUME*: Fungua mlango! *MKE*: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
hapa kazi tuuuu...[emoji2]
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mgongo ka meza ya kahawa tweendee tweendee... Macho ka kete za pool...tweendeee tweendee.. Mfupi ka mabetriii tweeennnddeee twendee Meno ka folen ya madumuu twendee twendee..
0 Reactions
250 Replies
32K Views
Kipindi cha uanafunzi ,kutoa mimba au kushiriki kutoa mimba ndio kumekithiri , Nani ambae hajawai fanya hiki kitendo?, A-level ndio wengi wanachomoa ujauzito zao,pamoja na chuoni baadhi yao.
0 Reactions
5 Replies
993 Views
Kuna hela ukila urudishaji wake mgumu sana:- 1. Hela ya ada. 2. Hela za vikundi. 3. Posho za Mwenge
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Jamaa mmoja kwa kupenda vya kunyonga siku moja aliingia choo cha stendi bila kupenda. Tabia yake ya kuuliza maswali yasiyo na msingi ilimtokea puani na kumwacha mdogo kama kanyeshewa mvua ya mawe...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
*WAMAKONDE* *bwana!*[emoji3][emoji3] Kwao mtwara wanaita *KUMTWARA* Dar-es-salaam wanaita *KUDASALAMA* morogoro wanaita *KUMOROGORO* mwanza wanaita *KUMWANZA* hata moshi nako waita *KUMOSHI*...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Asilimia 98 ya watu wafupi huwa hawapunguzi urefu wa jeans zao, huzikunja kwa chini wakiishi kwa matumaini kwamba kuna siku watarefuka wakunjue jeans zao. HII INAITWA IMANI...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi Guys I think this friday is the last day tutaonana kwa wale ambao tutaweza Kuonana. Maana nimepata Scholarship and I will be travelling to London on monday. I will be going for three years...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
O yeh! wale wazee wa kuteleza kwenye lami peku peku, O yeh! kupiga sarakasi na taulo wakati hujavaa boxa, O yeh! kutembea juu ya makaa ya mawe ya moto peku peku, O yeh! namaanisha wale wazee wa...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…