Kilabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Msimbazi jijini Dar es salaam imepambana hatimaye kushindwa kutwaa alama tatu ugenini katika dimba la Majaliwa, Dhidi ya Club ya Namungo, Yenye makazi...
Yanga na man city, ndo timu pekee zenye vikosi vipana zaidi kwa sasa duniani.
timu hizi zenye makocha bora zaidi duniani, zina nafasi kubwa sana ya kubeba treble msimu huu, kutokana na parfomance...
Simba msije mkajaribu tena kuiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba, Ni ngumu kwa kikosi cha simba kukifanyia rotation kwa baadhi ya mechi vinginevyo inakuwa inatafutwa lawama tu,
Timu pekee yenye...
Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora.
Na ndiye alikuwa mchezaji pekee...
" Prof Nabi anngepewa mechi Ile ya Simba vs wydadi basi Ile mechi isingefika hata kwenye matuta, ingeishia dk ya 90 wydadi kafungwa Tena goli sio chini ya Moja" farasi wa vita (2023)
Sababu...
Wakuu,
Hivi ile Channel iliyozinduliwa kwa mbwembwe zote na bashasha Yanga TV Channel imeangukia pua?
Tujuzeni maana hadi Mpenja ana studio sasa Uto hawasomeki!
Ila hizi timu za Kariakoo...
Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi...
Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350]
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika..
Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba
Ni...
Kuanzia kikosi alochopanga kocha hadi uchezaji na hatimae draw ni dhahiri Simba walikuwa wameshakata tamaa ya ubingwa mwaka huu 2023. Hili ni kosa kubwa sn wamefanya.
Hata mwaka jana walikata...
Mimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo.
Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya Dodoma ndo nyepesi na tupo...
Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3...
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga...
Mabingwa mara nne wa Ligi Kuu Uganda, Vipers SC wameweka dau mezani kwa nia ya kumshusha kikosi hapo straika matata wa Yanga, Fiston Mayele msimu ujao.
Chanzo chao kimeeleza kuwa uongozi wa klabu...
Wakati natafakari hayo najiuliza zaidi. Je, Ulaya na Hususan UK Premier League inadumaza viwango vya Mpira Sehemu Nyingine?
Kulikuwa na wakati nchi tofauti zina vionjo tofauti, Afrika Nguvu na...
Watamkumbuka Abramovich! Yawezekana ni laana ya kumpora jamaa timu aliyokuwaanaimiliki na kuihudumia vizuri!! Hadi mapumziko Arsenal 3 - 0 Chelsea! Hapa naona mkono au wiki inanukia!!
KISASI cha miaka ishirini iliyopita kimelipwa Ijumaa usiku katika Uwanja wa Mohamed V, pale Casablanca.
Kisasi cha watu wa Afrika Kaskazini dhidi ya Simba. Maumivu yalikuwa makubwa wakati Simba...
Kwema Wakuu,
Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi.
Sasa hapa natumia common measurement ya value...