Kwa kweli Simba naiona ikipindua meza na kuwatoa Al Ahly na kutinga nusu fainali.
Simba ndiyo timu inayojua kufanya maajabu, Benchika aangae wapiga penalt mahiri maana Simba anaweka moja la...
Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa...
MUHIMU: MICHEZO HII NI HATARI SANA, BILA UMAKINI NA MAFUNZO WENGI WAMEPOTEZA MAISHA
Ni mwamba GHB DON ni fundi na mtalam wa kuchezea pikipi, Tanzania na Afrika Mashariki hakuna mwenye uwezo wa...
Aisee Kwa uchezaji wa Al ahaly ule naamin asilimia 100 marudiano Simba lazima ashinde kutokana na sababu zifuatazo;
1. Kiwango walichoonesha Al ahaly ni kidogo ukilinganisha na Simba pamoja na...
Tangu nimeingia kwenye mpira wa Tanzania, kitu ambacho nimekua sifurahishwi nacho ni kwamba Yanga ikiwa na jambo flani ikaenda kwenye taasisi yeyote hapa nchini, taasisi hiyo itapeleka jambo...
Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game.
KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA...
Kama mchambuzi mahiri wa soka hapa JF nimeona Simba ikiendelea kujaa kwenye mifumo ya Yanga. Kila kwenye mechi zake hivyo kukosa attention hivyo kuishia kukandwa daily.
Suala la mshabiki wa Yanga...
Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao )
Kati ya wale 48 wanaoenda...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema wanatarajia kufanya uchunguzi wa ndani kubaini sababu za wachezaji wake kuumia mara kwa mara ikiwa ni siku chache baada ya Lisandro Martinez na...
Minara ya Simu kutoka Afrika Kusini ndiyo huwa Imara sana.
Na ikitumika hapa ndani Spidi yake huwa ni ya Wastani, ila ikitumika Kwao Afrika Kusini hasa Mji wa Pretoria ndiyo huwa ina nguvu...
Ni wazi kabisa hizi figisu ila cha kushangaa ni kuona timu kubwa kama Mamelodi kufanya hivi vitu wakati wao walipokelewa vizuri hapa Tanzania, tushazoea kwa waarabu ila sasa imeanza kuwa hadi kwa...
Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo.
Ni mtu hatari kwa usalama na...
Singida Fountaine Gate FC na Singida Black Stars.
Habari nataka kujua nyuma ya hizo timu kuna nani? Je, mkoa wa Singida unashindwa kuazisha timu kuazia chini hadi kuja ligi kuu?
Naomba kujua...
Katikati ya jiji la Madrid, kuna hekalu la soka linalo vutia na kuakisi historia tajiri isiyolinganishwa popote kwenye mchezo huu mzuri wa soka.
Estadio Santiago de Bernabéu, ni maskani ya klabu...
Habari Wana JF najua mpo poa samahani kama nitakuwa nimewakwanza Kwa fikra hizi mnisamehe ila Wengi Wanaumia sana
Serikali hii inapesa za kulipia mashabiki pamoja na kuwapa pesa ya kujikimu huko...
Wadau nawasabahi,
Mada hapo juu inahusu Fedha anazotoa Rais kwa kila goli litakalofungwa na Vilabu vya Simba na Yanga kwenye Mashindano ya Kimataifa yanayoendelea.
Ni jambo zuri Mh. Rais...
Yanga SC left stranded after bus breaks down near airport
Tokelo Mokhesi13 hours agoLast Updated: 2 April 2024
https://youtu.be/CLAdkEw-G2k?feature=shared
Tanzanian side Yanga SC faced a...
Kuna watu wanamsema Inonga kuwa anafanya makosa mengi uwanjani siku hizi kuliko zamani bila kuangalia mambo muhimu. Ukweli ni kwamba Inonga hana raha kucheza Simba.
Inonga ni mchezaji mkubwa...
Taarifa kamili kutoka club ya APR imeeleza kwamba aliyekuwa kocha wao wa viungo Adel Zrane amefariki dunia,taarifa halisi haijaeleza nini chanzo cha kifo hicho