Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari za wakati huu. Jana tumeshuhudia mpira mzuri kutoka kwa timu zetu mbili bora zinazoenda kuwakilisha kimataifa CAF Champions League Msimu Wa 2024/2025. Young Africans aliibuka mshindi...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Olivier Giroud: "Watoto wangu waliniuliza: Baba, unacheza na Kylian Mbappe timu moja?" "Nikawajibu: ni kweli lakini yeye ndiye anayecheza na mimi timu moja... Wakacheka". Hapa jamaa...
5 Reactions
11 Replies
572 Views
TAIFA STAR'S IMEBEBWA NA YANGA Ubora huu wa timu yetu ya taifa umeletwa na Yanga, kwa sasa taifa Stars wachezaji wanacheza kwa kujiamini hususani mabeki, kujiamini kwa wachezaji wetu wa Yanga...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Hapo zamani za hivi karibuni, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye John. John alikuwa na rafiki yake wa karibu sana aitwaye Alex. Alex alikuwa kijana mwerevu, mwenye kipaji, na mwenye ndoto kubwa za...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbona anakuwa kama Mangungo wa Msovero?
12 Reactions
109 Replies
5K Views
Kuna namna wanahitaji kuendelea kutawala soka la Tanzania kwa msimu mwingine na hivyo wanafurahia sintofahamu hii hasa kipindi hiki cha usajili. Tunawafahamu polisi mashabiki wa yanga lakini pia...
3 Reactions
13 Replies
589 Views
Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi, Hii timu...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Naam ni Nuri Sahin alikuwa playmaker Mwenye kipawa cha Aina yake Ila alinyimwa bahati mwishoe kwenye career yake akaandamwa na majeraha. Mnamo 1989 ndio Alizaliwa Nuri Şahin huku wazazi wake...
2 Reactions
0 Replies
391 Views
Viwanja huna , Unafikiria Var ?. LIgi nzima viwanja vi 3 Tu Ndo vina miundombinu bora Lupaso, Chamazi, Uhuru ( inayokarabatiwa)..
5 Reactions
12 Replies
452 Views
Anyway ni kusema wenzetu wanajua sana ku brand utalii wao na vivutio hasa hotel zinaonesha namna gani utapata malazi mazuri chakula kizuri na kampani. Hapa Jf ukitaja utalii utaona vijana...
5 Reactions
14 Replies
710 Views
Kwa wanafuatilia masumbwi mtakuwa mnamfahamu kwa uzuri kabisa Luis Ortiz aka King Kong. Ni bondia kutoka Cuba a naye fanya vizuri sana. Kwa muonekano aisee ni copy kabisa ya Mgunda. Wafananishe...
1 Reactions
8 Replies
528 Views
Hii Simba wangeigawa mara mbili. Simba Mangungu na Simba MO. Kama zamani si kulikuwa na Simba na Small Simba. Baada ya mgawanyo huo kila mmoja afanye analotaka sasa. Mashabiki wa Simba mtachagua...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Njia wanazotumia wanasimba kukutaka ujiuzulu ni kelele za chura tu, pressure imekuwa kubwa kukufosi uachie uenyekiti kwa sababu umeshindwa kuleta furaha kwa wanasimba. Halafu umewaongezea...
4 Reactions
11 Replies
812 Views
  • Poll Poll
Msimu umetamatika kwa wapenzi wa soka, yapo matukio yanayoumiza na yapo yanayofurahisha. Furaha za matukio huzidiana hivyo ipi kati ya mechi hizi tatu za Yanga ilikufanya uwe na siku bora zaidi...
2 Reactions
21 Replies
877 Views
Habari za huzuni jioni hii, kutoka katika kitongoji cha Cheshire, Greater Manchester ni kuwa Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia. Wawili hao walioana mwaka 1966 na...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Tumalize utata wadau
5 Reactions
12 Replies
691 Views
Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani. Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na...
2 Reactions
3 Replies
553 Views
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine. Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Akisoma bajeti ya serikali bungeni, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba ameshauri serikali kuweka msamaha wa kodi kwa vifaa vya VAR ili kuondoa sintofahamu katika mpira wa miguu. Waziri Nchemba...
2 Reactions
5 Replies
567 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…