Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

“..tulishawalipa, hakuna kesi yoyote FIFA inayoihusu Yanga” – Ally Kamwe anafafanua kuhusu madai ya timu hiyo kudaiwa na baadhi ya wachezaji iliyoachana nao, atangaza tarehe ya kuanza kutoa ‘thank...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Na ninasikia Wiki hii au ijayo kuna Mchezaji / Wachezaji Wawili nao wanaenda Kushtaki FIFA kwa Madeni yaliyokubuhu.
1 Reactions
11 Replies
854 Views
Klabu ya wanywa wanzuki kariakoo simba Ipo kwenye mazumgumzo ya mwisho kunasa saini ya mchezaji raia wa zambia ndugu Debora . Kiungo huyo machachari kabisa anayemiliki dimba la chini atakuja...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimecheza mpira na naujua mpira na nauchambua mpira pia Saido Kanoute si Mchezaji wa Hadhi ya Simba SC yetu. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari wadau! Naomba kufahamu hizi channels za BeinSports nazipata kwenye decoda gani? Nimekuwa nikicheki online tu, ila napenda sana.
1 Reactions
1 Replies
359 Views
Unajua humu ndani tunachukuliana poa sana labda kwa sababu ya hizi ID feki. Kuna madogo ambao wanatakiwa wakupe heshma iliyotukuka ila kwa kuwa tunakutana katika nyuzi za soka tunachukuliana wote...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Ukweli hawezi kuwa na nafasi kubwa kwa uchezaji wa yanga labda kama ataingia kwenye mfumo wao kitu ambacho ni kigumu. Yanga wanamchukua kwa ajili ya kuuza jezi tu.Wako kimkakati sana.Huyu hata...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
TLS ni body corporate, ina common seal, ni chama chenye historia kubwa katika nchi, ndio maana serikali imeingiza mipango yake kwenye TLS, sheria za nchi hii haziwezi kwenda bila kushirikishq TLS...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Cloatus Chota Chama Nikiwa shabiki wa Simba niliupenda uchezaji wa Chama lakini nimekuwa nakerwa mno na tabia yake ya kuzua sintofahamu kila unapofika wakati wa usajili. Kwa tabia hii ni vizuri...
4 Reactions
13 Replies
987 Views
every player from Ghana league failed. ni nini hiki??
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matano ya CAFCL Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matatu ya CAFCC Aliyekuja kujifunza Yanga SC (...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Mnatuambia Simba mpya inakuja, mnawaimbisha watu kuwa safari ijayo mnyama atakuwa hashikiki, ukiangalia yanayoendelea kwenye App ni Mzamiru, Kapombe, Israel, bado Tshabalala, Kaze, Duchu...
4 Reactions
6 Replies
620 Views
Viongozi wengi hasa Mo Dewji amekataa kumlipa zaidi Chama. Na anasema amechoka na kelele za kuhusu Chama. Akina Magori wanaunga mkono. Aachwe. Mashabiki wengi wa Simba wamemchoka. Wamebaki...
7 Reactions
15 Replies
823 Views
Nimeona Azam wameachana na Ayoub Lyanga, huyu kiungo ni mzuri sana, mwanza anajua kupiga kona, pili, ni mzoefu, tatu bado boli analo, mm bado naamini Lyanga ni moja ya making hatari sana hapa...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
14 Reactions
163 Replies
16K Views
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC. Taarifa rasmi itafuata muda mfupi.
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania 10. GB 64 Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
SINGIDA Black Stars (zamani Ihefu), imeendelea kusuka kikosi cha msimu ujao ikielezwa imepora nyota wawili wa kigeni waliokuwa wakiwindwa na Simba, huku ikimalizana na makipa Metacha Mnata na Beno...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Kabla ya kukurupuka kusajili wachezi, Simba wahakikishe wana safu bora ya uongozi na technical bench lenye ubora wa hali juu. Baada ya hapo ndipo hilo benchi bora la ufundi lifanye kazi ya...
2 Reactions
4 Replies
543 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…