WALE WANAOSEMA AZIZ KI NI WA KAWAIDA....SOMA HII PROFILE YKE JIBU BAKI NALO MWENYEWE
PROFILE STEPHANE AZIZ KI.
▪️Name - Stephane Ki Aziz
▪️Date of birth - March 6, 1996.
▪️Citizenship -...
Kijana katengenezwa na propaganda akawa mkuubwaa hadi yeye akajishangaa , ukweli ni kwamba hizi teams 3 za bongo zinalipa mishahara ambayo huko west africa wachezaji hawana kabisa lakini Aziz key...
Hayawi hayawi yamekuwa baada ya Mwamedi kuikacha team na hali kuwa mbaya huku vi akiba vikiisha kabisa,Said bagalile a.k.a Hamis Kigwangwala alitoa sharti kwamba wampigie simu kama wana shida yeye...
Yaani Beki Abdallah Shaibu 'Ninja' wa Yanga SC anajua kabisa kuwa hana hata Namba Yanga SC hii yenye Majembe tupu na Msimu uliopita kama kuna Mechi ya Ligi aliyocheza basi ni Moja na hata za...
Timu ya Taifa Tanzania imekuwa ikitumia nguvu kubwa mpaka miaka ya nyuma na mkuu wa mkoa kipindi cha Makonda.
Nguvu hizi sio msaada bali ni kupoteza muda kama kawaida yetu nchi hii.
Mtindo...
Mwaka 2018 wakala wa Yaya Toure alisema kua"Miungu ya kiafrika haitamuacha Guardiola ashinde CL miaka ijayo hii Itakua Kama laana ya kiafrika nawaambieni mda tu ndo utaongea kama nipo sahihi au...
Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo?
Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu...
Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ...
Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers...
Beki Kalidou Koulibaly amesafiri Jijini London kwa ajili ya kukamilisha usajili wake kutua Chelsea ambapo anatarajiwa vipimo vya afya, lei Julai 14, 2022 kabla ya kuungana na wenzake.
Raia huyo...
Wapinzani wajiandae, MO anafanya kazi sasa naanza kuelewa. Tukipata mkabaji pale ktkt ***** aje na huyo manzoki pale mbele.
BEKI QUTTARA achukue nafasi ya ONYANGO
SIMBA ITAKUWA MOTOOOOOOOOOOOOOOOO
Habari za wakati huu mashabiki wa kandanda Tanzania pamoja na East Africa kwa ujumla.
Nchini kwetu tumebarikiwa kuwa na league bora na yenye ushindani kushinda zote afrika mashariki ila Simba na...
Kigwangwala also known as SAID BAGAILE ni mgodi unaotembea baada ya kuitumikia nchi kwa uadilifu mkubwa na ustadi akiwa naibu waziri kisha waziri sasa ni wakati wa simba sc kumtumia kwa uzuri...
Wakuu samahani kwa usumbufu,
Simaanishi Joy aliyesajiliwa jana na yanga HAPANA huyu sina shida naye japo kila akitajwa beki huyu wa pembeni picha ya shemeji yenu wa zamani hunijia ila tuyaache...
Habari.
Katika press ya Leo ya kumtambulisha kocha mpya wa Klabu ya Simba hapakuwepo na matangazo ya Mo Dewji ,Sport Pesa wala Vunja bei.
Napata Shaka na hii timu kwamba imepoteza wadhamin wake?
Nimeleta huu uzi kama tetesi za zilipotokea pia, maana mtu mwenyewe anayehusika hapa hachelewi kulialia na ku play victim
Kutoka ukurasa wa jamaa anyejiita Chaz lee huko facebook
Miaka yote Simba day imekuwa ikifurika umati wa watu, uwanja unajaza mashabiki na nje kumejaa mashabiki, ni siku ambayo mnyama anatambulisha wachezaji wake wapya.
Usajili wa wachezaji wapya ndio...
Leo nimemsikia semaji la CAF Ahmed Ally akielezea kuhusu usajili wa Simba, nimemsikiliza kwa umakini, amesema wamemaliza kusajili wachezaji wa ndani, ina maana Habib Kyombo na Nassoro Kapama ndio...