Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Klabu ya Simba imetuma maombi kwa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Simba Day ambapo wanatarajiwa kucheza dhidi ya Saint George ya...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Klabu ya Simba kimelalamikiwa kwa kitendo chake cha ubaguzi na kutoa kauli chafu dhidi ya wanahabari kitendo kilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji wa tasnia ya...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa hali ilivyo kuwa siku ya jana katika ununuzi wa jezi za club ya Simba katika Maduka ya mfanyabiashara Fredy Vunja bei hakika haikuwa sawa, likely kuke kulikuwa ni kusababisha majanga ...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe amewasili leo Jijini Arusha, Tanzania na kupokelewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Fraga mpaka Bange alishaanza Kuvuta na alikuwa anafika ( anagongana ) na Kukichafua huku Ukijipendekeza unakula ama Ndole au Kipepsi na Kutulia hadi akawa anaogopwa na Wachezaji wa Timu Pinzani...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Manchester United imeanza vibaya msimu mpya wa Premier League 2022/23 baada ya kufungwa magoli 2-1 katika mchezo dhidi ya Brighton kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Agosti 7, 2022. Mchezo huo ni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ni siri ambayo watu wengi watakataa nafikiri kwasababu ya imani zao tofauti Ila huu ndo ukweli halisi kabisa Yanga mkitaka kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa fanyeni hivi. Wekeni timu...
0 Reactions
3 Replies
464 Views
Simba wapo wengi sana mitandaoni kuliko yanga,wakifanya siasa za mpira. Je hii inasaidia nini?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Unapo deal na simba na yanga kuwa makini uwe Afsa wa serikali au uwe sijui rais wa TFF mwisho wako hautakuwa mzuri. Angalia historia ya yanga ilipotoka fatilia vizuri upatikanaji wa uhuru wa...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Haya Haya Yanga yetu ! Tulishawahi kusema huko nyuma, Yanga haijawahi kupata Majaribu, ijapokuwa Yanga imechukua makombe kama yote msimu ulippita, lakini ukweli ni kwamba Ubora wa Yanga...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
25 Reactions
368 Replies
23K Views
Tangu conte atue spurs kaenda kubadilisha sana Ile timu mim nlibatika kuangalia michezo mingi sana ya spurs msimu uliomaliza hasa game za mzunguko wa pili livepoor anakumbuka alichofanyiwa pale...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimefurahi pia Kusikia kuwa mmeachana rasmi na Yule Mganga wetu wa Kisiwani Zanzibar ambaye Kiukweli alitusaidia mno ndani ya ile Miaka Minne mfululizo ya kuwa Mabingwa, ila mwaka jana ( Msimu )...
1 Reactions
4 Replies
634 Views
Kwa sasa ni wazi Upepo unavuma vibaya upande wa Yanga hasa nje ya uwanja. Km TFF itamuadhibu Injinia Hersi bila shaka Yanga nao watatafuta namna ya ku-retaliate.Kamwe hawatakaa kimya. Ndio tabia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mambo yanaendelea kimya kimya yanaweza yasiwafurahishe mashabiki wa simba lakini Mpira ni pesa na pesa ni sabuni ya roho,,tujipe muda
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Haya njooni tuchambue, nani ameua zaidi?
0 Reactions
70 Replies
5K Views
Wanaenda kwenye sherehe ya Simba day wakiwa na hofu na tar 13/8
0 Reactions
7 Replies
570 Views
Haya wale Team Manzoki Wenzangu baneni sasa 'P' zenu Ili huyo Mchezaji atakayetangazwa na Simba SC dakika Moja tu kutoka sasa ( yaani Saa 9 Alasiri ) hii awe ni Manzoki. Kila la Kheri.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Please please naomba iwe ni Manzoki kwa kweli naomba iwe hivyo ,huyo mzungu hata kama ni mkali itamchukua muda sana kuendana na ujinga wetu wa ki afrika please naomba iwe...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…