Wadau nimegundua kila zinapotumwa picha za zaman huwa zinaleta hisia na gumzo hivi mtaalamu wa akili unaweza kutuambia ni kwa nini inakua hv kwa sababu wengine mpaka wanalia kwa kuangalia tu picha...
Ijue story ilipoanzia 👇🏾.
https://www.jamiiforums.com/threads/muombee-adui-yako-njaa-maandamano-yanayoendelea-kenya-yawafurusha-watalii-800-na-kukimbilia-tanzania.2081704/
wakuu huu ujenzi wa hiki choo unamenishangaza kiukweli
Haiwezekani kugeuza sinki la choo ligeukie upande wa mlangoni yani Apo ukingia makalio yanageuka kwa mlangoni unless uwe mkaidi ugeuke...
Mzee kachafuka pamba kali na chain litakatifu.
[emoji1545]
Kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, amen.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app