Nazungumzia
1. Mji wa Moshi.
2. Mji wa Arusha...
I'm telling you! Hii miji miwili ndiyo yenye baraka zaidi mpaka hiyo milima inaishuhudia.
Type Amen.
Kuibariki zaidi nawe utabarikiwa.
Kwa kweli nipende kulipongeza shilikisho la mpira wa miguu Tanzania kwa kushirikiana na Azam Media group
Viwanja kwa upande wa Tanzania bara [NBC PL] Vinarizisha kwa kiwango kikubwa ukilinganisha...
Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko.
Naomba picha hii ikiwa full.
Yaani nyumba full.
Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi.
Nipe picha ya...