Ndio matokeo ya kujichokonoa kila saa kuivuta chupi ,si mvae zinazoziba makalio jamani ona hii dhahama sasa
Mnaovaa hizi chupi ndio mnakuwaga hivi kila saa...
Tunajenga barabara kwa garama za juu
Lakini tukumbuke pia kuzifagia na kutoa mchango,barabara nyingi mchanga huachwa
Mpk mchanga unafukiaa na kuficha lami kuonekana!
Hii ni barabara ya tandale...