Coach Saed Ramovic Sasa tumeanza kumwelewa
Wachezaji wa Yanga wameongeza fitness
Prince Dube
Hat trick ya kwanza kwenye NBC pl mwaka huu, nilimwambia ni suala la muda
Sasa naamini tumemwona...
Hongera kwa Afande, Hivi kufuta hii kitu tena ukiwa umepiga magoti na mikono miwili tena kimahaba, huwa ina maanisha nini kwenye ulimwengu wa kiroho ?
Hii picha nimeangaliaaaaa, nikawaaaza...