THURSDAY, MARCH 14, 2013
Bango la kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake kutembelea Kiwanda cha viatu cha Huajian mjini Dongguan, China, alipotembelea kiwanda hicho...
Rais mkongwe zaidi barani Afrika, Robert Mugabe wa Zimbabwe akila keki wakati wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Ana miaka 89. Kando yake ni mkewe Grace. Mugabe anataka kuendelea kuongoza...
(BARCELLONA MILAN 4-0) REMUNTADA BARCA
MUNGU asikujalie uwe Mshabiki kama huyu Mtangazaji anavyolia Timu yake ya AC MILAN ikifungwa mbele ya machao yake.