Nakumbuka wakati nipo msingi hii picha ilienea sana kipindi hiko. Nafkiri hata kwa wengi si ngeni, trick nikuconcetrate kwenye 4 dots on the pic for like 30 secs then angalia sehemu kwa mfano...
A recently deciphered 4,000-year-old clay tablet from ancient Mesopotamia -- modern-day Iraq -- reveals striking new details about the roots of the Old Testament tale of Noah. It tells a similar...
Mwanamuziki Koffi Olomide a.k.a Mopao Mokonzi mzee wa Abracadabra ameonesha jeuri ya mpunga baada ya kuvuta ndinga matata aina ya Rolls Royce.
Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
kwa mujibu wa wavuti.com JK anaonekana akitua uwanja wa JKIA kwa kutumia ndege ya Kenya airways kutokea Amsterdam..nauliza hivi hajifunzi kulifufua shirika letu?
kama kenya wanaweza kurusha ndege...