Nimelikuta bango la Mzee wa Upako pale Ubungo likiwa sambamba na mabango ya Chadema. au tuseme limepambwa na bendera za chadema.
Pictures speak louder than words.
HAPPY BIRTHDAY ROBERT!
LEO, Rais Robert Gabriel Mugabe wa Zimbabwe, ametimiza umri wa miaka 90 tangu kuzaliwa.
Happy Birthday Rais Robert Gabriel Mugabe.
Huyu ngedele amepatikana katika hifadhi ya wanyama Timbavati Game Reserve iliyoko hapa hapa barani kwetu kwenye mipaka ya Mozambique na Africa ya Kusini. Japo ni picha kama zingine lakini kwa...