nilikuwa napitapita kwenye internet nikakutana na hizi noti,
Hizi noti zinanikumbusha mbaali sana, enzi zilee za shule ya msingi, kipindi hicho ukipewa 50/= wewe ni tajri wa darasa, utanunua...
Ilikuwa ni april 27 mwaka 1993.
Vijana wale wa 'KK Eleven' walikuwa wakielekea Senegal kucheza me chi muhimu kuwania tiketi ya kucheza kombe la dunia kwa mwaka 1994.
Walipofika pwani ya Gabon...