Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tulipotoka Tanzania: Hizi noti zinanikumbusha mbali sana...!

Discussion in 'Jamii Photos' started by stineriga, Jun 30, 2012.

 1. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,035
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  nilikuwa napitapita kwenye internet nikakutana na hizi noti,

  [​IMG][​IMG][​IMG]

  Hizi noti zinanikumbusha mbaali sana, enzi zilee za shule ya msingi, kipindi hicho ukipewa 50/= wewe ni tajri wa darasa, utanunua kila unachotaka hapo shuleni wakati wa mapumziko..!!

  je, itafikia siku noti za 500/= , 1000/= na zenyewe kupotea kwenye mzunguko wa fedha, na zenyewe kubaki historia??
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,407
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  Du Thanks mkuu kama vp ebu tupia blue(buku 10) au la kaki(buku 5) zile zilizoondolewa.
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,532
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  hizi noti zimenikumbusha Tanzania niliyoipenda..kidogo machozi yanitoke!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,967
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Yani hizi noti imenipeleka mbali sn.


  Kuna ile noti ya shilingi kumi
  Hebu rushia Mkuu na hata ile shilingi 20
   
 5. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,035
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Angalie usiwatoe machozi wengi,:crying:

  enzi zilee familia ikiwa na jero wanakula,

  mimi nimepata akili soda ilikuwa inauzwa sh80 dukani, sasa hivi soda sh 700/=
   
 6. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,035
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  noti ya sh 10/= na sh 20/=
  [​IMG][​IMG]
   
 7. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,035
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  mkuu ubluu bluu huu hapa,
  [​IMG]
   
 8. paty

  paty JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kweli kitambo mkuu , hizi nimezi download kama kumbu-kumbu yangu
   
 9. doup

  doup JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 773
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa serikali dhaifu, hizi nazo zitapita kama upepo, kabla ya muda wa kuhesabika kama ni historia
   
 10. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,665
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Rais dhaifu, Sirikali ya CCM dhaifu, hata noti nazo dhaifu eg ile ta tshs 500. Tz bila CCM, inawezekana,2015 tushirikiane kuitokomeza.
   
 11. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 530
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Wakuu kuna thread humu niliisoma inaonyesha fedha zote(coins na Note) tangu chini ya mjerumani hadi haya madafu ya ndugu yangu Ndulu.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,612
  Likes Received: 16,495
  Trophy Points: 280
  dah...................
   
 13. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  tupia na coins basi....
   
 14. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
 15. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,810
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  hiyo Mia nyekundu sijaitumia ila hiyo Mia mbili imenikumbusha mbali ndo ilikuwa Ada ya Shule ya msingi nakumbuka siku niliyopewa nkalipe hela ya upe mwenyewe nilipewa noti ya mia mbili mpya! Dah kweli siku hazingandi... Na Yule mwenye noti za elfu elfu zile za Mwinyi na Mia tano aziweke
   
 16. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,022
  Likes Received: 7,512
  Trophy Points: 280
  nahisi ipo siku zitakuwepo noti za LAKI MOJA
   
 17. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
 18. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,716
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mikwanja nimeitamani sana! Maana sina hata senti hapa kwa mfuko!
   
 19. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 6,951
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Ni kweli maana nakuona umejiinamia tu..pole sana...Mimi check hiyo familia yangu kwenye avatar, watakula nini kwa hizi pesa za madafu
   
 20. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3,393
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Hizi Kalenda ya BOT 2010 waliweka karibu zote na hadi leo sijaibandua kwenye Ukuta
   
Loading...