Hapa maandalizi ya kupakuwa chakula yakifanyika,Bukoba upendelea sana kutumia majani ya migomba na kutandaza nyazi sehem ya kupatia msosi.Hata mtu awe na sehem nzuri vipi na meza nzuri lakin bado...
allah akbar!! Allah akbar!! Mungu mkubwa!! Mungu mkubwa!!!
Embe yakutwa ikiwa imeandikwa jina la "allah! Ndani katikati.
Kwa aliyepitia masomo ya qur - an ni rahisi kwake kusoma maandishi haya...