Huwa nawekaga kumbu kumbu kama kitu kikiwa kimenichekesha au kinamaana fulani kwangu....
Zitabaki kumbu kumbu humu ndani mana naona kabisa simu inaanza kujaa mapicha
Wakuu,
Wahenga njooni tukutane hapa.
Huyu jamaa aliigiza kwenye movie maarufu sana Afrika.
Kipindi hicho masuala ya DSTV sijui Netflix hayapo.
Movie ulikuwa unaangalia kwenye mikanda au...