Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara...
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akimwambia Mgombea Udiwani wa Chadema, Anna Oloiwa, aliyefika kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza huyo, uliofanyika...
Wakinamama wa Mkoa wa Arusha wamshangilia kwa Nguvu Mh. Samia na kusema kuwa yeye ndie Muarobaini wa Matatizo ya Wanawake wote wa Tanzania. Wakinamama hao watoa ahadi ya kura zao zote kwa CCM.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasikiliza kina mama waiokuwa wakichota maji katika eneo la mtaa wa madukani, Longido mkoani Arusha.
Ni siku ya jana Samia S. akiwa katika kampeni za Chama cha Mapinduzi Monduli alipokelewa na Mafuriko ya Wamasai..
Ndugu Watanzania usipoteze kura yako
Chagua Magufuli ✔
Mchapakazi...