waliokosa matumaini kabisa.vichwa vyao ndani vipo hivyo. na wengine wanakula ccm kulala UKAWA
Na sisi team mabadiliko tunasema hiviii...
Bila kusahau maombi
#team #mabadiliko #2015
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi katika mkutano huo uliofanyika kwenye uwanja...
Wakuu inapendeza sana. First lady mtarajiwa anaweza kweli kweli. Aonana na mzee Lowasa na bila kujali umati wa watu ameonyesha mahaba kwa mumewe na kumtania kidogo