Hali ngumu kwa Lowassa na UKAWA, sasa wanashindana kutengeneza mafuriko bandia baada ya Mh. Magufuli kuipasua Arusha. Hakika Magufuli ndio Rais wetu wa Tano.
Mwigulu Nchemba Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Busega Dr.Chegeni mapema hii leo.Mwigulu Nchemba Jimbo la Busega kwa Dr.Chegeni akisisitiza...
MAGUFULI NI MWAMINIFU NA MUADILIFU, PIGA KURA YAKO YA NDIO KWA MAGUFULI.
MABADILIKO YANAKUJA.
King Athumani Majuto..... Mzee Majuto.
#KuraYanguMagufuli
#HapaKaziTu