Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni ushauri. Mke wangu aliongezewa damu kutokana na kuvuja damu nyingi, tatizo ni kwamba tangu ameongezewa damu, miezi mitatu ilipita, amekuwa akisikia mvutano kifuani, mapigo ya moyo kwenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilianza kuona dalili za malaria tar 31, kutokana na sehemu niliopo hakuna hosptali kesho yake nikanunu marafini nikanywa ila toka siku hiyo hali imekuwa mbaya kichwa kinauma utosini na kichogoni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau Habari zenu, Mimi ni kijana wa kiume Nina umri wa miaka 18-22 nimekuwa nikisumbuliwa na maradhi mbali mbali, typhod, malaria ,tumbo kujaa gesi , kutokupata choo, mwili wote unauma na maradhi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
KUFANYA MAPENZI KWA WANA NDOA KWA WIKI MARA 3 KUNAPUNGUZA KUPATA SHAMBULIO LA MOYO (HEART ATTACK) KWA ASILIMIA 50% WANA SAYANSI WAMESEMA. Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi...
9 Reactions
45 Replies
35K Views
Plus - Letter to the editor Manioc’s Vitamin B17 kills the cancer cell in humans Apricot seed kernels are used in the fight against cancer. The kernels contain Vitamin B17, and Vitamin B17 is...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Nilianza kuona dalili za maralia tar31,kutokana na mazingira niliokuepo hakuna hospitali kesho yake nikanywa marafin lakini hali ikazidi kuwa mbaya,kichwa kinauma sana maeneo ya utosini na kisogni...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
The decision to remove the prostate is based on an examination of a tumour sample under the microscope. However, the procedure has significant side-effects such as infertility...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ninani awezaye kuwa dokta
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Salaam ndugu zangu, nimeona niandike ili kupata maelezo kutoka kwa wale wanaofahamu. Nimeona kuna wakati ninapokunywa maji mengi tumbo linajaa (kwa nje linaonekana limeongezeka) na huwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eti nauliza ipo style ya kupata watoto pacha au wakiume au wakike ? Unapohitaji kupata aina hio ya watoto ?
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Bandugu zangu, yaani nikila samaki sibakishi kitu, hata iwe mifupa kiasi gani, kuanzia mikia ule mwiba mpaka kichww, na nikila nyama, mfano ya kuku wa kienyeji yani, ukinikuta utashangaa, nafunja...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Redirect
jaman wanandugu naomben masaada, kuna rafiki yangu, uume wake umepinda. Kwa anayeweza kufahamu tiba nzur ili kuweza kuwa katika hali iliyonyooka. Ahsanten
1 Reactions
Replies
Views
Watalaam niambieni km kuna madhara ya kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu mfano kukaa zaidi ya wiki mbili bila kufanya?
0 Reactions
30 Replies
12K Views
  • Redirect
Habari waungwana, Naombeni msaada wa dawa ya asili ya allergy.
0 Reactions
Replies
Views
Nina tatizo la skin wart usoni na shingoni *kiswahili chake sikijui ugonjwa huu* na hili tatizo nimelipata baada ya kujifungua. Je ni dawa gani naweza kutumia ili kuondokana na tatizo hili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau asalaam.Naomba anayefahamu vyakula vinavyoongeza idadi na ubora wa mbegu za kiume.Sio wingi wa shahawa,bali wingi wa mbegu za kiume.Tusaidiane jamani.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari waungwana! Leo shida yangu nahitaji kupata copy ya orodha ya Dawa zilizoruhusiwa kuuzwa kwenye DUKA LA DAWA MUHIMU. Tafadhari mwenye nayo naomba anipatie. Ahsante!!!
0 Reactions
1 Replies
5K Views
JF doctor hi! I have two problems so I need a help 2007 nilipata ajali ya gari ambapo kuna chuma kiligonga ktk bega langu la kushoto kwa pale pale nilihisi maumivu ila baadae yalipungua na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu! kwa wale wakristo na waamini wengine ati medically speaking, na kwa physiological facts naombeni sababu zilizopelekea kifo cha Yesu. 1. hypovolemic shock 2. shock due to pain 3...
0 Reactions
1 Replies
920 Views
nahitaji msaada wadau, kila nikifanya mapenzi napata shida ya kuvimba sehemu ya chini ya penis ambapo nimetahiriwa kama miaka nane iliopita, tatizo hilo limeanza mwaka huu, kwahiyo siwezi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom