Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mtu unakuwa na hamu ya kufanya mapenzi na sometimes usipofanya unaweza kuota usiku ukapiz (For Men) bt ukikutana na she unampa goli mbili na hapo basi kupata jingine inaweza kuwa baada masaa 4 au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana Jf naomba msaada kama kuna mtu anajua hospitali inayotoa tiba ya afya ya mfumo wa uzazi kwa wanaume naomba anijuze tafadhali. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wataalam nchini marekani kwa mara nyingine tena wamethibitisha umuhimu wa nguruwe kwa maisha ya mwanadamu pale majaribio yao ya moyo wa nguruwe waliomuwekea nyani kuonesha pasi na wasi kuwa...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Anaomba kufaham dawa ip nzur ya kuweza kukausha kidonda cha Kutahiriliwa kwa haraka ana miaka 28 ametahiliwa jumapili tarehe 04 yeye alipewa dawa za kumeza Croxasilin.na asprin..
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarin., mi nina tatizo ambalo ni la muda mrefu, yaani nikioga tu maji mwili wote unawasha na nakosa raha kabisa, na nikiona kitu kichafu kichafu, au hata nguo chafu, au kitu chocht...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wan jf,mwaka wa nne sasa kwenye ndoa bila mtoto,NILIGUNDULIKA HOSP. KUWA NINA PCOS MIRIJA YOTE OKEY,MFUKO WA UZAZI OKEY,NIMETUMIA METFORMIN,CLOMID ETC BILA MAFANIKIO. NAHITAJI SANA MTOTO...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Naomba kufahamishwa dawa ya TAMBAZI inaitwaje
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Pamoja na kusoma ushauri wa tiba ya kupata haja kubwa kawaida lakini mimi bado nina tatizo hilo na linazidi. Nakunywa maji mengi ya uvuguvugu, matunda na mbogamboga, vyote hivyo havinisaidii...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Madaktari wakianza kumfanyia Operesheni ya tumbo kwa ajili ya kuondoa mfuko wa nyongo, mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam kwa kutumia vifaa vya kisasa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu wana JF wa jukwaa hili.. Nimejifungua watoto mapacha mnamo tarehe 15/4/2014 mpaka leo bado damu inatoka ingawaje ni vimatonematone.nauliza jamani kwani ni uzao wangu wa...
1 Reactions
41 Replies
38K Views
Habarini marafiki Niko serious jamani anahitajika nurse ambaye atamhudumia mgonjwa nyumbani kwake, na kumpangia dawa za kunywa, kumpikia chakula maalum chake anachokula, na kufanyia massage...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dr. Nimekaa wiki mbili bila kupa choo, hii isha nitokea zaidi ya mara nne, nikipiga ulabu tumbo linafungunga. Je hii hali ni ya kawaida? Pombe ina nini kinachonifanya nipate choo?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Poleni na majukumu, Nilifanyiwa operation mwaka 2004 na 2007 za uzazi, kunakipindi tumbo langu linakuwa na vichomi pamoja na kujaa ges, nilionana na Daktari na kumuelezea shida yangu aliniambia...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hivi utajuaje una low sperm count? Nimetokea kufuatwa na mdogo wangu wa kiume na kunieleza swala moja, ya kuwa siku mojamoja akiamka asubuhi na anapokojoa anakojoa kitu cheupe kwanza, then mkojo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yeyote anaejua tiba ya kuuma nyonga/kiuno ( maumivu makali ya kiuno) ama amewahi kuugua na kutibiwa ugonjwa huu naomba msaada maana nasumbuliwa kwa takribani miaka miwili. Nimetibiwa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana jamvi. Kwa anayefahamu naomba anijuze dawa ya kutiba tatizo la ngozi ,(MBA). Nashukuru.
0 Reactions
1 Replies
12K Views
Please help. Nina appointment na mtoto wa Kinyarwanda weekend hii. Je wapi naweza pata dawa VIAGRA au yoyote inayofanana na viagra ili kusaidia wakati wa penzi. Kwani huwa napata tabu sana...
1 Reactions
27 Replies
17K Views
Mmbu wanaosababisha Malaria Aina mpya ya viini sugu vinavyosababisha Malaria na ambavyo havisikii dawa vimegunduliwa na wanasayansi. Watafiti wamevigundua viini hivyo Magharibi mwa Cambodia na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu, Bila kupoteza muda ngoja niende kwa point; Nilikua najiskia hali ya mvurugo wa tumbo na kichefuchefu mimi ni ME umri ni 28. Nimeenda kwenye ka dispensary flani hapa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…