Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jamani kwa anaejua hli naomba msaada nina matatizo ya kutokwa damu nyepec na nyekundu sana uken ikisindikizwa na bonge. Tatizo hli limeanza tangu mwaka jana mwez wa tatu cku mbili baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maajabu ya juisi ya Ubuyu Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote...
3 Reactions
15 Replies
37K Views
Nina degree ya Bsc. Ed biology and chemistry with lower second nataka kusoma degree ya pharmacy or doctor je nitakubalia muhimbili au niaze na diploma ndio niende degree? Naombeni uxhauri wataalamu
0 Reactions
2 Replies
4K Views
nilikuwa nauliza hivi mwanamke au binti akiwa anaumwa tumbo la chini ya kitovu hivi anaweza akawa na tatizo gani au ni tatizo gan huweza kupelekea hyo hali p'se naomba ushauri
0 Reactions
0 Replies
3K Views
'Remote control' contraceptive chip available 'by 2018' By Dave Lee Technology reporter, BBC News...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Naomben msaada wenu mdogo wangu ametahiri tangu mwez wa sita mwanzon (likizo inaanza) mpaka sasa mwez july shule inakaribia kufungua bado kidonda akionyesh dalili ya kupona..naomba mnsaidie dawa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naombeni msaada wakuu mimi ni mwanamke wiki sasa nasumbumbuliwa mishipa kuuma na mkono unaganzi na maumivu yamiguu mpaka chini ya nyao kwa anaefahamu naombeni msaada
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika asilimia kubwa ya wanawake hawapendi kutumia condom za kike kwa kigezo tu kwamba eti zina usumbufu katika kuzivaa, kwani waliozi-design kwa ajili yenu hawakuliona hilo...
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Wadau naombeni kwa anayejua Dawa ya kutibu kuku huu ugonjwa wa kideri,nimekula kuku mpaka nimebloo,kuku wanapukutika kila dakika.nimetumia za madukani nahisi nazo ni wamezichakachua kwani hakuna...
0 Reactions
1 Replies
46K Views
Naomba nitambulishwe kwa nini mtu anapokasirika hutoa sauti ya juu hata kama mtu anayeongea naye yupo karibu naye. Nimemshuhudia mtu na mkewe ndani wanaongea polepole lakini inapotokea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KWA UFUPI “Jamii za kimataifa zimegundua kuwa, kuna faida kubwa kama tutaziba pengo la kijinsia lililopo katika masuala ya afya kwa kuwapatia wanawake uhuru ili waweze kuishi maisha ya furaha,”...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
nilikuw naomba ushauri eti kutafuna mchele kunaweza kunisababishia mim kupata apendix au kifuko cha appendix kujaa? please naomba ushaur coz nimedevelop hii habit ya kutafuna mchele na nashindwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 na ninakorodani moja tatizo hili nilizaliwa nalo.je naweza kuzaa? Naombeni msaada wenu kwasababu tatizo hili limekuwa likininyima raha kwa muda mrefu
1 Reactions
23 Replies
13K Views
habari wana jf....nimejaliwa kupata mtoto wa kiume ambaye kwa umri ana mwezi na nusu sasa...mchana kutwa anashinda amelala akiamka ni kunyonya na kuendelea kulala..amekuwa akilala hadi saa tano au...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Rafiki yangu ana tatizo la kutema mate mengi karibu kila baada ya dk. 2 na hii humtokea tu wakati anapofunga (Swaumu) si kwa Ramadhani hii tu ila kila mwaka hupatwa na hali hii. Ushauri wenu ni...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Za Friday wa Dau!! Kuna dada mmoja ana shida ya kutopata mtoto,ameshafanyiwa vipimo na hakuonekana na matatizo yoyote katika mirija ya uzazi na hata mayai yake ameambiwa yako vizuri, lakini cha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
WanaJF, nimeishi kwa miaka ishirini na sita (26) sasa nikiwa nimepoa moyo kabisa. Sina hisia za upendo na sijawahi kuhisi hivyo toka mwaka 1996 nilipokuwa darasa la pili. Nakumbuka mwaka huo...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Uzi huu nimeuanzisha makhususi kwa ajili ya kuwasaidia watanzania wenzangu ambao hawana uelewa wa mambo ya afya ili waweze kujipatia ushauri wa afya kuhusu magonjwa mbalimbali ya binadamu.l Karibuni.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
wandugu, kwa anayejua, tumeshafika mwezi july 2014, ninaye mdogo wangu amesoma nursing na ninahitaji akasomee mafunzo ya tfda ili nimpatie mtaji wa duka la madawa hapa mtaani. kwa yule anayeelewa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni mwaka wa 18 sasa nasumbuliwa na tumbo linajaa gesi na kuunguruma sana hadi naogopa kukaa na wenzangu. Cha ajabu pia hata mwili ukipata joto kiasi cha kutoa jasho nahisi kuchomwachomwa mwili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…