habari zenu ndugu najua jf kuna watu mbali mbali na pia kuna wale mungu amewajalia kuwa madaktari mbarikiwe kwa kazi mnazo zifanya. mimi tatizo nililo nalo tangu mwezi uliopita usiku ninapo lala...
Wakuu,
1. Utafiti uliofanywa nchini Tanzania (http://www.tzonline.org/pdf/femalecircumcisionandHIVinfectionintanzania.pdf) umejikuta ukishindwa kueleza ni vipi kuna maambukizi machache sana ya...
Wadau naomba ushauri maana naelekea kuwa confused.
Nina mtoto mwenye umri wa miaka 7. Huyu mtoto amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuumwa tumbo kwa style ya kushtukiza, yaani inamuanza ghafla na...
Nilikuwa natatizwa sana na jambo hili, na sikuwahi kupata daktari aliyenipa jibu la uhakika. Nimesoma article hii hapa chini na nafikiri nimepata mwanga kidooogo.
Can you take two antibiotics at...
Habari wana jamvi, leo ni siku ya pili kila ninapo vuta mafua/kamasi kupitia matundu ya juu ya kinywa kutokea puani makamasi hayo yanapogusa ulimi huwa na kauchungu mithili ya uchungu wa...
Best Sources Of Iron That You'll Actually Want To Eat
A Bonanza for Seafood Lovers
What it is: A raw-bar feast
How much iron you get: Per 3-ounce serving, oysters have 6.2 mg iron and clams...
Habari jf,,,,,, naombeni msaada wenu,,, nina tatizo la kubanwa na mkojo kila wakati n dan nikikojoa naumia,,, bt nilijaribu kunywa maji mengi ikaacha kuuma bt kutwa mkojo unanishika,,,,,,,
Wakuu wanajf naomba msaada wenu nasumbuliwa sana na amoeba tumboni nimetumia dawa za hospital naona bado.Naombeni ushauriwenu wapi ntapata dawa za asili I mean miti shamba tumbo langu any time...
-There's no cure for Ebola. So why have some patients walked away healthy in westen countries while all contracted patients in Africa are dying ?
Dr. Kent Brantly, Nancy Writebol, Dr. Rick Sacra...
Habari.
Eti wakuu chanzo cha kunyonyoka nywele kwenye utosi ni nini? au utakutana na mtu hana nywele kwenye utosi kwa jina lingine mtu mwenye kipara, mbona sijaona mwanamke mwenye upara? chanzo...
habar wana jf nimekuwa nikisumbuliwa na meno mwaka sasa ila ucku wa leo ndo limezd maumivu hadi kukosa usingiz je kuna dawa yoyote nitakayoweza tumia ili kuondoa maumivu hayo nashukurun kwa...
wanaoitwa wataalamu a.k.a wanabaiolijia kama chi wanatuoya kuwa kuna aina kibao sijui za kupumua. nizifahamuzo ni pamoja na kupitia puani, vinyweleo na hata kujamba
sasa leo tuogelee umuhimu wa...
Hali zenu wadau wa JF Doctor.....
Jamani mwenzenu mieeee, nimechoka sasa. Mtoto huyu hana hamu ya kula kabisaaaa, hakuna chakula kitamu ambacho anapenda, akitamani chipsi ukimpatia anakula robo...
naomba kujibiwa swali langu nakupewa maelezo yaliyokamili,
Je kuna dawa yakumfanya mtu afike kileleni kwa haraka?
upungufu wa hormone za kike kunaeza msababisha mtu kutofika kileleni?
NOTE:
Mawazo...
Hi doctors....
Hili swali huwa najiuliza nakosa jibu. Nilipokuwa mdogo (shule ya msingi na sekondari) fangasi nilikuwa nazisikia tu na kuzisoma kwenye vipeperushi....nimekuja kukutana na fangas...
Jaman Wanajf-bachelor Of Science With Biology Naombeni Msaada Wenu Nina Tatizo La Nguvu La Kiume Natowa Bao Moja Afu Crudii Ume Wangu Unacnya Na Atatendo Lenyewe Huwa Cjickii Kufanya Nitumiye Dawa...