Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mama aliyejifungua karibuni anatakiwa kula vitafunio gani na vyakula vya aina gani
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu..., Kumekuwa na tetesi kuwa kimaadili ya Taaluma ya Udaktari, ni kwamba ikitokea daktari wa kiume anamfanyia uchunguzi wa kitaalam mgonjwa wa kike halafu daktari akapata mhemko then...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wapenzi wana Jf, Napenda kuelewesha ivi mwanaume asipofanya mapenzi kwa muda mrefu kama miaka 2-5 nimatatizo gani yanaweza kumpata. Msaada tafadhari
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hospitali ya Apollo kuendesha kliniki ya ushauri wa magonjwa ya goti, nyonga, bega na mfumo wa fahamu Dar Kufuatia idadi kubwa ya Watanzania ambao mara kwa mara husafiri kwenda India kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali imeishiwa vipimo hivyo. VCT ya hapo (Hindu Mandal Hospital) ni Tsh. 10,000/=. Na Pregnancy test (Kipimo cha Ujauzito) nayo ni hivyo hivyo!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada jaman. Tumemkata mtoto kilimi toka asubuh mpaka saa 7 hii mchana analia,aliyemkata amesema hakuna dawa kitapoa chenyewe,tumetumia njia ya kienyej, mwenye uwelewa wa dawa yoyote ya kutuliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Mimi kuna kitu kinanitatiza. Kuna madhara gani mtoto kumlaza kifudifudi?ie. uso kuelekea chini? Nauliza hivi kwa sababu mwanangu ukimlaza uso juu dakika 10 nyingi keshaamka...
0 Reactions
12 Replies
15K Views
Bandugu naombeni kujua, kip kinasababisha tatizo la mate kujaa mdomo usuku unapoamka unakuta mdomo umejaa mate. nifamishen plz wataalamu
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Ushauri wenu tafadhali....
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Nimeona maelekezo mengi kuhusu kutoa kitambi na unene naomba msada njia rahisi na yakisasa zaidi kupunguza unene na kutoa kitambi asante
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wanajamvi,Hivi kuna umuhim wa kujuana groups za damu kwamba zinaendana or not??Jee nini madhara ya groups kutokuendana??Na jee group O aoe mtu wa group gan?Group A,AB pia wafaa kuoana na watu wa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu! Habari zenu?? Mimi mwenzenu hapa nasumbuliwa sana na usingizi baada ya kupata chakula cha mchana. Tatizo ni nini hasa? Kuna solution ya hili tatizo wakuu??
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Kinapelekea Watu Wanene Kuwa Na Tabia Ya Kujamba Sana Na Hovyo Hovyo Lakini Pia Watu Wembamba Kuwa Ndiyo Vikojozi Maarufu Wa Vitandani? Wanasayansi Karibuni Mtuelimishe!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF? Kwa yeyote anayejua matumizi na faida ya mafuta ya MKUNAZI naomba anijuze.
0 Reactions
8 Replies
20K Views
Habar za sahizi wakuu, Najua kwa kufika hap na kuandka hya ntawza kupata suluhisho sahihi kwa kile kinacho nisumbua wataalam wa saikolojia naomba mnisahidie juu ya hili mimi ni kijana me. Kuna...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Asalaam.. Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani??
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimekuwa adicted to coffee,nina mwezi mmoja tangu nianze kunywa kahawa seriously sijaona tatizo lolote,je inaweza kuniletea madhara yoyote hapo baadae?
0 Reactions
19 Replies
18K Views
Ndugu zangu wana jamii foum mimi ni kijana wa miaka 27.... Juzi nimeamka asubuhi nikapatwa na mauivu kono wa kulia baadae ukaamia mkono wa kushoto na ukashka hadi kwenye viganja.... Nimeamka jana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu habari za sahizi Nna shida ya nguvu za kiume wana jamvi nafkiri kuna doc anaeweza kunsaidia katika hili au mtu yeyote anaefahamu maswala haya. Tatizo ni kuwa nna wahi sana kufika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Asalaaam..naomba ushauri wenu..nina mtoto mdogo mwenye umri wa miezi 11,ameibua tabia ya kulamba mkojo wake pale anapo kojoa sakafuni...hulala sakafuni na kuulamba...Je anatatizo la kiafya au ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…