Wadau nawatakia weekend njema.
Nahitaji nini ili kuanzisha zahanati chini ya NGOs. Suala si mtaji bali masharti gani laima yatimizwe ili kuanzisha huduma hiyo.
Asanteni
Health Benefits of Cabbage
Because of its leafy appearance, cabbage is often thought to belong to the lettuce family; however, cabbage is considered a cruciferous vegetable. Cabbage can vary...
Habari, Ni kwenye magroup ya whats app kuna mtalaamu mmoja alisema hivi," kwenye cell kuna vipokezi vya kupokelea virusi vya ukimwi, sasa kuna watu hawana hawa hawawezi kupata ukimwi. Walivyo na...
Nimekuwa nikinywa kijiko kimoja cha chai cha mafuta ya mzeituni (olive oil) kila siku niamkapo kabla ya kula kitu chochote. na nimeona mafanikio makubwa sana kwa afya yangu.
Je kuna madhara...
Habari wana jf,
nina mtoto mchanga nilikuwa namnyonyesha tu, sasa ni miezi mitano na nimeanza kazi nahisi maziwa yangu pekeyake hayamtoshi hashibi. nilianza kumpa maziwa ya SMA ila anaharisha...
ndugu marafiki na jamaa mbali mbali mwaka jana mwez wa 9 nilipata ajal ya gar mkoan morogoro. na nikavunjika uti wa mgongo
niliangaika sehem mbali mbali kupata matibabu. ikiwemo pale kcmc moshi...
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nina gal wangu ambaye niko naye kwa muda wa miaka miwili but tumeanza kusex nae mwaka huu mwezi wa kwanza.
Tatizo lake ni kwamba since nimtoee bikra yake yani...
Naombeni msaada wenu,
Kuna mtu anasumbuliwa sana na maumivu makali ya miguu hasa kwenya magoti.Umri wake ni kama miaka 70. Nahitaji kuelekezwa ni wapi naweza kumpata mtaalamu hapa Tanzania...
Habari, naomba ushauri wa kitaalam kuhusu issue mbili zinazomkabiri mke wangu.
Issue ya kwanza: Mke wangu ana ndevu kwenye kidevu, sio nyingi sana but anataka zitoke permanently. Je, ni vizuri...
Habari za muda huu wana Bodi.
Naomba kujua angalau kwa undani kuhusu ugonjwa huu wa UTI hasa kwa kina dada,je ni ugonjwa wa zinaa?
stori nzima iko hivi....
Jana kaja rafiki yangu akiwa mnyonge...
Mimi ni mschana mwenye miaka 25 Siku hizi nachoka sana mikono nikifua yaaani kama inaishiwa nguvu na kuchoka hapo ni nguo ya pili tuu.....zaman nlikua nafua mpka rundo la nguo sisikii kuchoka...
ni vipele ambavyo siyo chunusi na hata ukiviminya havina kitu ndani ila kuna kipind vinatutumka zaid vilianza vichache sana hqpo kifuani mwaka ukapita ila vinazid kuongezeka na vimepanda hapo...
story yangu inaaza hivi,
nakumbuka mnamo tarehe 09/06/2012 majira ya saa 10 jioni nilimpokea mchumba wangu kutoka Same na kuja huku nilipo Ruvuma. so tukawa tunaishi pamoja, nakumbuka siku ya...
Waheshimiwa wana JF,salaam.Naomba kuuliza mbali na kutumia kinga/condomni kipi tena inabidi kukiepuka wakati unajamiana namwana ume/mke ambaye ni HIV +ve.La mwisho je tongue kissing...
Naomba kuuliza Nina MDOGO wangu ana mimba miezi 8 na cholesterol Yake iko juu sasa ameshauriwa hospital I atumie junior aspirin na mdalasini sasa kila akila akitafuna mdalasini anasikia maumivu...