Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Nini tatizo la fivi kuvimba na kusababisha meno kuuma na kulegea? Msaada tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Unywaji wa pombe ni suala la kihistoria,pombe imekuwa ikitumiwa katika jamii nyingi kote duniani toka karne na karne kama kinywaji na kiburudisho. Ukiachia kuburudisha pombe imekuwa na madhara...
3 Reactions
15 Replies
11K Views
Hello member nimepata hamu ya kufaham ukweli kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu maana una shambulia sehem nyeti za miili yutu hasa mapafu n.k, je kwa MTU ambae aliugua na kutibiwa anaweza kulud katika...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Habari za mchana! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, mwanzo nilikuwa naishi Pwani, ila nikahamia mkoani kikazi na familia yangu. Lakini Pwani bado nika makazi pia, basi wife akatoka mkoa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani zangu kwenu wana Jamvi. Leo nakuja kwenu kuomba msaada wa uelewa juu ya mambo yafuatayo kuhusu watoto :- 1. Je, ni hali ya kawaida kwa mtoto wa miezi miwili kasoro...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASIKINI "Umasikini hauji kwa bahati mbaya, ni kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela...
2 Reactions
1 Replies
811 Views
Happiness Massage inatoa huduma ya Massage kwa dakika 15 bure kwa Watu wenye matatizo ya mgongo. Weka taarifa zako hapa ili ufahamishwe utaratibu wa kufika. Happiness Massage, Lamada...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
//
MEDICAL FITNESS_ *BLOOD PRESSURE* ---------- 120/80 -- Normal 130/85 --Normal (Control) 140/90 -- High 150/95 -- V.High ---------------------------- *PULSE*...
2 Reactions
4 Replies
709 Views
FAIDA ZA TANGO 1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini. 2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B. 3. Kusaidia kutunza ngozi. 4. Kuongeza maji mwilini. 5. Kukata hangover...
1 Reactions
2 Replies
812 Views
Habari, Je, ni kweli wagonjwa wengine wa mabusha hugoma kuyafanyia upasuaji kwa sababu ya imani za kishirikina eti kwenye yale mabusha kunakuwa na zana zao yani vifaa vyao vya kishirikina?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wassalam wanajukwaa. Afya kwa mwanadamu ni tunu kubwa ambayo kuwepo kwake kunamuwezesha (binadamu) kwa kiwango kikubwa kuwa ni mwenye furaha na utulivu kwa ujumla.Ni dhahiri kwamba mwili wa...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Kuna best yangu Mmoja ana dem wake, yule mdada kapata ujauzito na baada ya kwenda kupima damu akakutwa na group lenye resus factor negative. na ameambiwa anatakiwa achomwe sindano ya ANT DOTE...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
i dont have much to say all i need to know is if there's any natural medication apart from tablets and lotions,that i can use to make me last longer in bed.i mean something that will or can stay...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Natafuta duka la vifaa vya maabara na kemikali Dar es salaam au Arusha. Asante.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Je ni dalili zipi za uchungu ambazo mama mjamzito huweza kuziona...!
0 Reactions
20 Replies
176K Views
Samahani mimi naishi Mwanza nilipata ajali mwez wa 5 iliyopelekea jicho langu la kulia kutoka nilipelekwa Bugando nikafanyiwa upasuaji likatolewa moja kwa moja, lakini mpaka saivi linatoa machoz...
1 Reactions
57 Replies
52K Views
Natanguliza shukrani zangu kwenu wana Jamvi. Leo nakuja kwenu kuomba msaada wa uelewa juu ya mambo yafuatayo kuhusu watoto :- 1. Je, ni hali ya kawaida kwa mtoto wa miezi miwili kasoro...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu tatizo langu ni hilo hapo juu nimetumia dawa nyingi za kupaka na kumeza ila tatizo lipo palepale kama kuna MTU anaejua dawa tafadhali Shea nami Ni mikononi tu hadi kucha zinatoka...
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Husafisha mirija ya uzazi, Husaidia mzunguko wa hedhi kuwa wa kawaida. Tuwasiliane
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Siku za hivi karibuni naona kumeibuka dawa nyingi za kutoa sumu mwilini na nyingi naona wanazungusha hawa masai lakini hizo dawa ukinywa lazima uarishe sana na wanasema sumu ndio inatoka kwa style...
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…